T/bills, bonds na fixed deposit ipi bora?

Walnut Creek

JF-Expert Member
Mar 17, 2009
5,706
6,013
Wadau,
Ningependa kujua kwa mtu mwenye chini ya 50M ni bora aiweke kwenye T/BILLS, T/BONDS au FIXED DEPOSITS. Ushauri wenu unahitajika. Asanteni.
 
Fananisha rate unayopata na urahisi wa kuitoa hiyo hela ukiihitaji kabla ya muda wa hiyo instrument kumature kama unafikiri linaweza kutokea ukaihitaji hiyo hela kwabla ya muda wake.
 
Fixed ni best options.. sababu unaruhusu kuidraw hela yako incase ukipata dharura.. japo faida hutapewa....
 
T bills zina maturity ya mda mfupi. So hizo ndio poa iwapo unahitaji cash yako yote irudi. Bonds zina maturity ya mda mrefu. Pengine hata miaka 20! So far, sijui kama mtu binafsi anaruhusiwa kununua T bills au Govt bonds!
 
Ningekuwa wewe ningewekeza kwenye Bond za miaka 15 ambapo nitanunua kwa discount kubwa almost 20%. Na nikawa napata interest rate ya almost 15% annually.

Nikiwa na shida ya hela, nauza bond kwenye secondary market.
 
i concur
 
Fananisha rate unayopata na urahisi wa kuitoa hiyo hela ukiihitaji kabla ya muda wa hiyo instrument kumature kama unafikiri linaweza kutokea ukaihitaji hiyo hela kwabla ya muda wake.
ushauri murua sana
 
T bills zina maturity ya mda mfupi. So hizo ndio poa iwapo unahitaji cash yako yote irudi. Bonds zina maturity ya mda mrefu. Pengine hata miaka 20! So far, sijui kama mtu binafsi anaruhusiwa kununua T bills au Govt bonds!
kuna uzi humu wa Davon sijui Devonte ulisema hata watu binafsi wanaruhusiwa kununua T-bills & gvt bonds
 
Back
Top Bottom