T.BETTER, BOXER na SAN LG - ni ipi pikipiki imara ya mjasirimali

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
1,014
2,000
Wapendwa wana JF,
Ongezeko la magari mjini na foleni limemfanya rafiki yangu atake kununua pikipiki kwa ajii ya shuhuli zake za ujasiriamali
Kwa wenye uzoefu na pikipiki, ni ipi yenye nguvu na inayodumu na upatikanaji wa spare?
unaweza kunitajia kama unafaham aina nyingine tofauti na hizo...ya bei za kawaida.
Kuna mtu kaniambia kuwa San LG zinazotaka kwa sasa hazina uimaratena kama zile za mwanzo; inaukweli?
Asanteni!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom