System ya Afya (Health Management system) inahitajika

Samedi Amba

JF-Expert Member
Nov 13, 2018
227
178
Habari za asubuhi wanaJF,

Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.

Leo, nina hitaji lingine:
  1. Health Management System (HMS) kwa ajili ya mazingira ya hospitali na zahanati
  2. Mteja tunayemfanyia kazi ana network ya hospitali/zahanati zaidi ya 500, kwa hiyo multi-tenancy ni jambo muhimu mno. System tunayohitaji itakuwa on the cloud, maana hiyo ni hii - itakuwa ni system moja lakini kila facility (kituo cha afya) kitakuwa na login area yake na data zake, ila system itakuwa moja kwa ajili ya updates etc.
  3. Iwe na API kwa ajili ya kuweza kuvuta data kirahisi. tunapanga kuwa na mobile app na POS extension kwa ajili ya wepesi, kwa hiyo hilo ni la kuzingatia pia
  4. Ikiwa na uwezo wa kuintegrate na API ya NHIF/NSSF na bima zingine major, itakuwa ni added advantage.
Kwa maswali/maoni nicheki inbox, ila general discussions zifanyike hapa kwa manufaa ya wengine.

Uwe na siku njema.
 
Mkuu wewe ni kama dalali au
Hapana. Mimi ni Digital contractor. Ntafanya test zote na kumaintain. Nahitaji programmer ambaye amewahi kufanya hii mahali, na ipo tested and proved to work. Halafu tutafanya kazi pamoja. Ni njia ya kupeana fursa na kugawa dau.
 
ambatz,
Ok mkuu.... Hii kazi inahitajika kufanyika kwa muda gani? Na pia una full scope of work to be done? ambatz
Hii Kazi ni endelevu. tunataka cfamew ya kutest kwa hospitali kama 20 hivi kupata base flow
ambatz,
Ok mkuu.... Hii kazi inahitajika kufanyika kwa muda gani? Na pia una full scope of work to be done? ambatz
Muda hauko definite. Tunachohitaji ni working system ambayo tutatumia kama prototype for testing na kutweak kwa ajili ya kuhudumia mahitaji za members wetu. Ni kazi endelevu na itaboreshwa kadri tunavyopokea maoni ya wadau, na washirika wanavyoongezeka.
 
Kuna mtu naweza kuku-link naye...Kashafanya hizi kazi sana tu.....Na ni experienced enough.Kama uko tayari niambie nikupe namba yake umcheck...
Kwake hii ni issue ndogo.
Habari za asubuhi wanaJF,

Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.

Leo, nina hitaji lingine:
  1. Health Management System (HMS) kwa ajili ya mazingira ya hospitali na zahanati
  2. Mteja tunayemfanyia kazi ana network ya hospitali/zahanati zaidi ya 500, kwa hiyo multi-tenancy ni jambo muhimu mno. System tunayohitaji itakuwa on the cloud, maana hiyo ni hii - itakuwa ni system moja lakini kila facility (kituo cha afya) kitakuwa na login area yake na data zake, ila system itakuwa moja kwa ajili ya updates etc.
  3. Iwe na API kwa ajili ya kuweza kuvuta data kirahisi. tunapanga kuwa na mobile app na POS extension kwa ajili ya wepesi, kwa hiyo hilo ni la kuzingatia pia
  4. Ikiwa na uwezo wa kuintegrate na API ya NHIF/NSSF na bima zingine major, itakuwa ni added advantage.
Kwa maswali/maoni nicheki inbox, ila general discussions zifanyike hapa kwa manufaa ya wengine.

Uwe na siku njema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaweza kufanya kazi kwani kampuni yetu tayari ina mifumo ambayo ni multitenant
Kwa kukuhakishia ni kwamba tayari tuna mfumo wa namna hiyo yaan "multitenant(school management system)" ambao tayari upo kwenye market kwa hiyo inawezekana kabisa ku develop mfumo unaouhitaji.

Proof of our multitenant project:
Platform name: schoolinsight
website: http://www.schoolinsight.co.tz

Kwa mawasiliano tutafute kupitia namba zifuatazo
0692 412 862 / 0765 665 034 / 0653 471 592

I hope to hear soon from you
Thanks
 
Habari za asubuhi wanaJF,

Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.

Leo, nina hitaji lingine:
  1. Health Management System (HMS) kwa ajili ya mazingira ya hospitali na zahanati
  2. Mteja tunayemfanyia kazi ana network ya hospitali/zahanati zaidi ya 500, kwa hiyo multi-tenancy ni jambo muhimu mno. System tunayohitaji itakuwa on the cloud, maana hiyo ni hii - itakuwa ni system moja lakini kila facility (kituo cha afya) kitakuwa na login area yake na data zake, ila system itakuwa moja kwa ajili ya updates etc.
  3. Iwe na API kwa ajili ya kuweza kuvuta data kirahisi. tunapanga kuwa na mobile app na POS extension kwa ajili ya wepesi, kwa hiyo hilo ni la kuzingatia pia
  4. Ikiwa na uwezo wa kuintegrate na API ya NHIF/NSSF na bima zingine major, itakuwa ni added advantage.
Kwa maswali/maoni nicheki inbox, ila general discussions zifanyike hapa kwa manufaa ya wengine.

Uwe na siku njema.
yeah mkuu unaweza jipatia mfumo wako kwa bei rahisi sana
mfano Login : Your School Name
WHATSAPP
+255 756 913 433
+255 693 338 637
+255 714 686 167
 
Back
Top Bottom