System upgrade...

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,110
2,000
We'll soon be upgrading the system. We need atleast two (2) hours to attempt this upgrade for our system safety.

Please bear with us.

Any comments? Any bugs have to be reported to invisible@jamiiforums.com

BTW: It might take less than 2hrs depending on server load.

Rgrds,

Invisible
For JF Administration crew
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,110
2,000
thanks mzee.. tuko pamoja.
Nashukuru kwa response ya haraka. Kuna mambo nadhani wengine mshaona yanaongezwa. Sasa vitu kama hivi kuvifanya mkiwa online zinaweza kutokea bugs kadhaa ambazo zinaweza kuwakera wengi. Naona wengine washaanza kujiwekea status kuwa wamesinzia (Mtaalam nimekuona!).

Kuna add-ons zinakuja zaidi na zaidi.

Tunataka kila kitu kiwe user friendly.

Invisible
For JF Administration
 
Mama

JF-Expert Member
Mar 24, 2008
2,854
0

God bless, long live!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
101,832
2,000
We'll soon be upgrading the system. We need atleast two (2) hours to attempt this upgrade for our system safety.

Please bear with us.

Any comments? Any bugs have to be reported to invisible@jamiiforums.com

BTW: It might take less than 2hrs depending on server load.

Rgrds,

Invisible
For JF Administration crew
Jitahidini iwe 2 hours na siyo 2 days or even more, wengine tutakuwa wagonjwa tukikosa dose yetu ya kila siku...:) Mama upo?
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,110
2,000
Jitahidini iwe 2 hours na siyo 2 days or even more, wengine tutakuwa wagonjwa tukikosa dose yetu ya kila siku...:) Mama upo?
Oops... Bubu uliweza kuandika lakini baada ya upgrade yenyewe kufanyika. Ilitumia saa 1 na dakika 30 tu.

Kuna watu wanashindwa kuweka STATUS zao. Mfano:

Invisible
Invisible is around but busy! Edit
Robot
Those red texts are indicating my own message to the board members. You (all registered members) can customize your status by clicking Edit and instantly there will be a line for you to put a message and pls make it short and then to complete the task click Edit again. Your message will display to other members as:
Invisible
Invisible is around but busy!
Robot
Naona Mama kaweza na kaacha ujumbe!

Mama

Mama is saying God bless you
JF Senior Expert Member
 
Fidel80

JF-Expert Member
May 3, 2008
21,956
2,000
Oops... Bubu uliweza kuandika lakini baada ya upgrade yenyewe kufanyika. Ilitumia saa 1 na dakika 30 tu.

Kuna watu wanashindwa kuweka STATUS zao. Mfano:

Those red texts are indicating my own message to the board members. You (all registered members) can customize your status by clicking Edit and instantly there will be a line for you to put a message and pls make it short and then to complete the task click Edit again. Your message will display to other members as:
Naona Mama kaweza na kaacha ujumbe!
Thanks mkuu nimeona changes hapo tupo pamoja mkulu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom