SYRIA: Ndege za Kivita za Israeli zashambulia ghala kwenye Uwanja wa ndege wa Damascus

Wakati tukiomboleza vifo vya makomando wanne wa kimarekani hapo jana,kwa mkono wa isis,tujikumbushe mfadhili mkuu wa isisundefined
DxEdSl3X4AUWSim.jpg:small
 
Walikuwa wanabisha mno,hatimae ukweli wameukiri wenyewe,general Qassem ile ni level nyingine,pia kuna huyu General Suheil Hassan wa Tiger force ya syria,hawa watu isis wanawagwaya,
 
iran wanawaona israel kama tatizo lao namba moja kwaiyo matatizo mengine kwao sio tishio kivile

nadhan apo kwenye uchumi kuwa hawako vzr sikubariani na wewe mkuu

vita vyote alivyoshinda israel ni kwa uwezo wa usa na hata hyo vita yake ya mwisho ya yom kippur misry alitimiza malengo yake na imemfanya mpaka leo kuwa na jeshi bora zaidi africa

Sent using Jamii Forums mobile app
Misri alitimiza malengo gani wakati 1973 ndio walinyang'anywa Sinai baada ya kupigwa vibaya kabla ya kuomba poo na kuokolewa na mkataba wa "Camp David Accord of 1979".

Hakuna nchi hapo Middle East inayoweza ikapigana Conventional War na Israel na kushinda make Israel kushindwa vita ni kwamba hawana nchi kitu ambacho hakitakaa kitokee hadi mwisho wa dahari.

Nchi kama Iran haiwezi kukabiliana na Israel uso kwa uso ktk vita hata wenyewe wanajua hilo labda kupitia "Proxies" kama wanavyofanya sasa.

Iran ikithubutu kuanzisha tu vita na Israel kando ya kupoteza uchumi wao utaangamia vibaya kwani hawawezi wakaanzisha vita na Israel halafu wakaachwa tu eti wauze mafuta na gesi nje. It's completely improbable and out of question.
 
vita ya pili kati ya misri na israel misri walirudisha maeneo yao waliyopoteza kwenye six day war

sasa nikuulize US aliona nini mpaka leo anamuhonga misri pesa ili asiwe na migogoro na israel?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Then ni wazi kuwa iran kufika mpaka wa israel ni done deal,wanaweza kuingilia hapo golan,wanaweza kuingia lebanon kwani hezbullah ni jeshi la iran hilo,
so how will israel approach iran boarder?,mkisikia Netanyau kila siku kiguu na njia kwa putini kulalamika kuhusu iran ni kwamba anajua tayari iran anaweza kumfikia israel kwa urahisi kuliko israel anavyoweza kufika iran,
israel hana Navy ya kupambana na iran navy,wakati israel wana submarine 6,iran anazo 27,
wakati israel hana destroyer iran anazo karibu kumi,
manowari ama navy ya iran ni semi blue water,kwa maana zinaweza kuproject power masafa marefu,mfano manowari hizo zinaweza kufika hadi venezuela jirani tu na marekani,submarine za israel ni vidogo,vinaweza kubeba makombora manne tu,na hii kashifa Netanyau anachunguzwa kwa kununua submarine zisizokidhi viwango,lakini wakati israel ananunua submarine,wao iran wanaunda wao wenyewe,
advantage ya israel ni nuclear weapons pekee,lakini iran ni kubwa huwezi kuifuta kwa kombora moja ama mawili ya nyuklia
Wewe huelewi how battles are won, bado una ile fikra ya kale kuwa "The more weapons you have the quicker you can win the battle", this is a misconception.

Subiri uje uone hao mahayatollah watakavyopigwa na hivyo vikaragosi vyao hawajui bado tu wanasomwa na kutafutiwa gepu.
 
Israel ni wazuri sana wa hit and run,ama sneak attack,ila kwa prolonged war,hawawezi,
check mfano syria imekuwa vitani fulltime kwa miaka 8 sasa,
israel haiwezi kuwa fulltime vitani kwa zaidi ya miezi 6,ita collapse
 
vita ya pili kati ya misri na israel misri walirudisha maeneo yao waliyopoteza kwenye six day war

sasa nikuulize US aliona nini mpaka leo anamuhonga misri pesa ili asiwe na migogoro na israel?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo, vita vya 1973 ndio Misri alinyang'anywa Sinai baada ya kushindwa vita na alirejeshewa tu pale waliposain mkataba wa Camp David mwaka 1979 kati ya aliyekuwa PM wa Israel Bw. Manahem Begin na aliyekuwa rais wa Misri Gen Anwar Sadat.

Misri wenyewe kukubali kukaa mezani enzi za rais Jimmy Carter ni kielelezo tosha kuwa waliukubali "Mziki" kwani walikuwa bado hawajasau kipigo cha 1967 kilichopelekea rais wao Gamal Abdel Nasser kufa kwa "Pressure". Hao wajukuu wa Yakobo wewe wasikie kwa mbali tu, usiombe ukutane nao kwenye corridor yoyote. Syria toka 1973 hadi leo, hajarejeshewa Golan Heights.
 
duh kumbe ni hatari yaani walimpiga na kuamua kumpa mihera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Israel ni wazuri sana wa hit and run,ama sneak attack,ila kwa prolonged war,hawawezi,
check mfano syria imekuwa vitani fulltime kwa miaka 8 sasa,
israel haiwezi kuwa fulltime vitani kwa zaidi ya miezi 6,ita collapse
Yes, hii maana yake ni kuwa Israel wako very sophisticated at wars than their Arab neighbours. Israel is more focused on "Surgical Strikes" which in most cases are decisive and act as a game changer.
 
In a long run syria ana exprience kitu kipya kila baada ya shambulizi la israel,mwanzo walikuwa hawawezi hata kudungua makombora,leo syria wanadungua makombora kama kawaida na hapo bado mrusi anasita kumwachia syria S-300 kwani anajua syria hawatasita kuzilipua ndege za israel hata zikiwa juu ya anga la lebanon,

anachofanya mrusi anajaribu kufanya delicate balancing ili syria aridhike na pia Netanyau ajisikie vizuri kwamba anaweza kupiga syria mda wowote,lakini ni wazi kuwa israel kapewa redline za wapi apige na wapi asipige,
hapa unakuta kuna mtu anachezewa shere
Umesoma wapi hiyo "Fiction".
 
Back
Top Bottom