Synovate na redet utafiti wao uheshimiwe kwani ni kweli CCM bado ni chama kinachong’a | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Synovate na redet utafiti wao uheshimiwe kwani ni kweli CCM bado ni chama kinachong’a

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by dadakuona, Oct 12, 2010.

 1. d

  dadakuona Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Kukubalika kwa CCM kuna sababu kuu tatu

  1. Chama kina sera nzuri
  2. Mgombea wake anakubalika na ana mvuto
  3. Kimuundo na historia ya kutetea wanyonge na kuleta maendeleo.

  Sera za CCM ni zile ambazo zinaangalia matatizo ya jamii kama vile kutatua kero za barabara, shule , maji, umeme, ajira na ustawi wa jamii kwa ujumla. Hiyo huwezi kuikuta kwenye chama chochote.

  Nikimwaangalia mgombea wa CCM kama vile padri, shehe, mchungaji, imamu , au mwanaharakati ambaye anaumizwa na matatizo ya wanajamii wanaomzunguka ametawaliwa na upendo, uvumulivu, subira, saburi, na shauku ya kuwasaidia wengine.

  Kimuundo Chama cha Mapinduzi kina mtandao mkubwa kuliko mtandao wowote Tanzania si Vodacom, Tigo, Zain, Zantel, au TTCL yote hakuna mtandao kama CCM amabao unapatikana kuanzia ngazi ya chumba kwa chumba, shina kwa shina, mtaa kwa mtaa, Kata , wilaya, Mkoa , Taifa na sasa Kimataifa kina matawi Uingereza , Marekani . South Africa n.k. Hivyo Synovate na Redet utafiti wao uheshimiwe kwani CCM ina sababu nyingi ya kukubalika.
   
 2. M

  Masauni JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 15, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani ninyi watanzania hasa wewe dadakuona ufahamu wako ni mdogo sana. Pengine uelewi uovu wa CCM. Mimi si mnafiki nimefanya kazi serikalini nakuhakikishia kabisa watu wachache wanaOfaidika na ouvu wa ccm ndo mashabiki wake wakubwa. Lakini mtu yoyote anayechukia Uovu kamwe hawezi kusupport CCM.
   
Loading...