symbian megathread: app ambazo hutakiwi kuzikosa za symbian

Mkuu user base ni tofauti na mauzo,

Symbian na meego is dead nokia ameziacha anaconcetrate kwenye windows phone kwa high na asha series kwa low

Meego ambayo ni mjumuisho wa os za nokia na linux imechukuliwa na jolla wanatengeneza os itakayoitwa sailfish.

Android ya google mnaijua kama unavosema nayo inajitahidi kupanda now wana 24 ni wa pili

Sasa hizi os 3 windows phone, android na sailfish ya jolla zote zinagombania hii asilimia 36 ya symbian ambayo inameguka

So mpaka sasa mkuu symbian ndo kiongozi untill then

but so far sijui kwanini napendelea zaidi iphone ingawa natumia nokia. labda ni mazoea. na hii WP8 bado kabisa kuingia akilini mwangu. nadhani ni mazoea kwani pia mwanzo sikutaka kusikia kitu zaidi ya nokia hata iphone nilikuwa naona kama ni mdoli fulani lakini sasa niziadmire sana iphone!!
 
Asante mkuu nmeipata... But ku rename na kueka password inakataaa mpaka ni purchase... ww umefanya vp?

Nna premium mimi sema premium nyingi ni unsigned

Ila kurename sio lazma uwe na premium labda hizi version mpya
 
chief-mkwawa unataka kusema Nokia hatoi tena Symbian phones ila WP8?

Hali ni tete, kuna sign tu haijatoka kauli sign zenyewe

-haijatoka s60v3 toka mwezi wa 6 2011
-wamesema hawasuport simu yoyote zaidi ya 808 pureview maneno hayo yamekuja baada ya belle fp2
-soft mpya za nokia hazisuport symbian mfano city lens mpya

Kama we mpenzi wa symbian subiria jolla
 
Last edited by a moderator:
najua watu wengi humu munazo simu za symbian (maarufu n na e series) na muna apps nyingi lakini leo ntawapa app chache za symbian ambazo ni very important na nkipata mda zaidi nta update

3d photo viewer kwa symbian zote
Hii ni app inaingia symbian s60v3,s60v5, symbian ana na hizi mpya belle itakuwezesha kuona image zako kwa 3d view na kuzoom nyuso zao. Kureplace native image viewer hii app haina manjonjo na ukiopen tu inakua kama gallery
1291556762.gif


Kudownload click link hapa chini
Download nokiabetal zfk22p7p.sisx

arcsoft video edito
Hii ni app ya kuedit video au kutengenezea movee (image to video)
videoedito26306.png

Baadhi ya feture zake ni
-uwezo wa kukata video vipande na kuunga, kuingiza sauti na kuitoa kwenye video. Inasuport format nyingi za sauti kama vile mp3,avi na wav pia unaweza preview video kabla hujasave

-pia unaweza weka picha zikawa video ukaingiza maneno kwenye video (subtitle) maneno unachagua rangi unayoitaka na pia unaweka background kwenye text

Kuidownload click link hapo chini
Download ArcSoft Mobile Video Editor 1.2.1.zip

joikuspot hotspot

Joikuspot ni app ya symbian inayomuwezesha mtumiaji wa nokia symbian kuweza kushare internet yake ya simu na vifaa vyengine.

Mfano una tablet au pc haina internet then kwenye simu yako ya nokia una internet unaweza vipa pc na tablet yako internet.
Change+the+Symbian+Phone+Become+Hostspot.jpg


Kama unavoiona kwenye picha joiku ina feature hizi
- ina dashboard ambayo inaonesha speed ya net yako, data unazo upload na kudownload
-inaonesha watu wote walio conect kwenye wireless yako ya simu
-uwezo wa kuiita jina lolote wireless yako na kueka key asiconect kila mtu
-uwezo wa kuvipa wireless vyombo vingi (nimejaribu hadi pc 4 kwangu kwa mpigo)

Ipo free version nenda website hii Ya

Joiku.com

Kwa kutumia mobile browser yako then download au hata ovi store ipo.

flip font

Hii ni app ambayo itachange font zako za simu ziwe aina ya maandishi unayotaka wewe
Black000089_thumb.jpg

Hii app yenyewe inakuja na maandishi ma 3 ya trial ili ujaribu then ununue maandishi.

Kwa lugha nyengine app ni bure then maandishi yanauzwa so ili kuipata fanya hivi

1. Kwanza nenda ovi store kasearch ''flipfont'' then download app yake

2. Download font zangu ambazo zishanunuliwa kwenye link hapo chini
http://hemedans.xtgem.com/files/MonotypeImaging_AmericanType_v1_0_0.zip

3. Install flipfont then fungua file font na zip manager theb install font zote. Kila font utakayoinstall utaona inatokea kwenye app kama umeinunua then ur done

Enjoy wana symbian wenzangu

na enjoy apps. Thank u alot Mkuu
 
Hali ni tete, kuna sign tu haijatoka kauli sign zenyewe

-haijatoka s60v3 toka mwezi wa 6 2011
-wamesema hawasuport simu yoyote zaidi ya 808 pureview maneno hayo yamekuja baada ya belle fp2
-soft mpya za nokia hazisuport symbian mfano city lens mpya

Kama we mpenzi wa symbian subiria jolla

imekula kwetu
 
Mkwawa, joikuspot hotspot,hii apps inaweza faa kwenye phone nokia N95 8gb? Naombeni msaada wadau!
 
KUNA MOJA INAITWA SMART OFFICE NI BALAAAAAAAA... Go to mobile9.com and get it
 
KUNA MOJA INAITWA SMART OFFICE NI BALAAAAAAAA... Go to mobile9.com and get it

App za office zinakuja na simu quickoffice mara nyingi inakuja quickoffice 4 then uki update inakaa 6 inakua nzuri zaidi pamoja na adobe reader 2.5.

Smart office inaplay format zipi na zipi?
 
App za office zinakuja na simu quickoffice mara nyingi inakuja quickoffice 4 then uki update inakaa 6 inakua nzuri zaidi pamoja na adobe reader 2.5.

Smart office inaplay format zipi na zipi?

Basi kumbe hujawahi kuitumia

ina view
microsoft word
microsoft excel
microsoft power point
Adobe(PDF)
IMAGES
PLAIN TEXT

inaonekana hivi
Scr000009.jpg

hizo ni pages tu.... u can view moja moja, uka zoom, edit and much more

inaitwa smart office picsel v1.8...

Nenda mobile9.com search hiyo app. Ina ukubwa wa 8MB
 
chief-mkwawa nimekua nikisubiri wachangiaji hapa nione ni wangapi bado wana Symbian phones, lakini hali si nzuri kabisaa

Mbona tupoo. Ww now wa androids mpo pamoja na kina tecno na g tide.. Sis bado hadhi yetu inaonekanaaa
 
Last edited by a moderator:
Mbona tupoo. Ww now wa androids mpo pamoja na kina tecno na g tide.. Sis bado hadhi yetu inaonekanaaa
ila tupo wachache sana, au symbian hawapendi mashauz kama kina android au iPhone?? maaana jamaa wakija hapa utasikia maneno kibao na kutambiana
 
ila tupo wachache sana, au symbian hawapendi mashauz kama kina android au iPhone?? maaana jamaa wakija hapa utasikia maneno kibao na kutambiana

Still bado user base wapo juu hali ikiendelea hivi 2016 android ndo ataongoza
 
Back
Top Bottom