Sylivia Sebastian ashinda taji la Miss Tanzania 2019

Haya mashindano sielewagi maana yake kabisaaa labda nikipata mtu anielekeze kw utulivu hasa madhumuni yake huwa ni nini hasa, mtu akiwa miss Tz what is going on
 
Yote kayataka Siti Mtemvu na kuwadi Lundenga,yaani mimi mwenyewe nimejua jana kulikuwa na miss Tanzania baada ya kuona huu uzi,yaani siku hizi Tukio la Miss Tanzania linazidiwa na event za ajabu ajabu.
Sitti mtevu umenikumbusha mbali..... Ile skendo ilikuaje tena em nikumbushe
 
Sitti mtevu umenikumbusha mbali..... Ile skendo ilikuaje tena em nikumbushe
Alidanganya umri
 
Habari zenu wadau,I hope mko poa,
Yule Miss Tanzania 2019,Syllivia Sebastian,Leo atakua Live Kuanzia saa4 asubuhi mpaka saa7 mchana ndani ya Leo Tena ya The People's Station the super brand radio,Clouds FM..@Dahuu,Mussa hussein,Jose Mara na @Ghea Habib...Atafunguka mengi Usikose.
@NgarenaroBoy
 

Attachments

  • ah.jpg
    ah.jpg
    21.9 KB · Views: 25
Yote kayataka Lundenga na Sitti Mtemvu shindano lilikuwa la kihuni,limepooteza mvuto bora Clouds kidogo wambrand huyo Miss watu wamjue wampigie kura akienda Miss World.
 
Back
Top Bottom