Swimming classes

Caoch Abel

Member
Feb 5, 2019
20
5
Hii ni kuwajulisha watu wote wenye nia,kwamba atimayr madarasa ya kuogelea yanaenda kukimbiza Dar es salaam madarasa ufanyika jumatatu adi jumapili kila wiki.

Tunafundisha watoto na watu wazima,katika madarasa tofauti bila shaka! Gharama ni nafuu sana.piga simu au WhatsApp +255712547412 ili kujisajili siku nzuri kwako kujifunza na kwa maswali zaidi.

kumbuka, hakuna zoezi kamili kama kuogelea na ni ujuzi mhimu wa kuishi nao Mbali na hayo sio vizuri tena kupumzika pande za pwani au kwenye swimming pool kwa kukaa kwenye viti au tenti bila kuingia ndani ya maji. Hebu tujifunze pamoja!!!.tufuate @swim_coach_lifeguard @swim_coach_lifeguard
 
Tsh 170,000 class 10 kwa mda wa wiki 5na unajifunza mala mbili kwa wiki dalasa hili lipo upanga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom