Sweetylady rudi mama tumlee mtoto wetu

wala msikonde,ngoja niwafanyie booking ya five nights full board mkale fungate jipya uswiss kwenye mji unaitwa st gallen,ni pazuri sana na kipindi hiki baridi haijawa kali.mkifika zurich chukueni treni na mkifika main station st gallen (wenyewe wanaita gare) chukueni taxi hadi hotel ibis,gharama zote juu yangu,ngoja nikawakatie na tiketi business clas swiss air (inaondoka dar usiku asubuhi umefika).
ps: si vibaya mkipeanana mimba ya pili.

kweli wewe raia wa kanyigo. Sasa ulitakiwa utoe ushauri afu mie nilipie. Ila asante manake kiroho kilikuwa kinadunda hapa, mweh! Kweli wanasema never make promises when you are happy!
 
ah mtani mie tena,sa ukija nyumbi hii bombi hii nani atakupokea na hili baridi na hivi tena watu washarudiana oh ntakufaa kwenye mvua kama leo jua huoni umuhimu wangu!oh zinduka mtani!

Ahhh mtani ila nasikia mnalala kama gogo unamwambia hubby wako lenga tu
 
Nilikuwa sijaona hapa, mapenzi yenu yadumu milele.
sweetlady kesho ufike makutano bila kukosa, kama utakuwa na dharula plz unijulishe mpendwa..
 
Last edited by a moderator:
Ni aje snowhite? Mie uchakaramu niliokuwa nazungumzia wa kule mahala wala ulikuwa hauwahusu wanawake wa kingoni bana...lakini nimesikia sifa zao nyingi sana labda huyo "mngoni mwitu" hahahahaha lol! Ukijaaliwa kupita Peramiho waambie BAK anawasalimia sana :):)



ah huyo atakuwa sio mtoto wa kingoni huyo!ukitaka ushuhuda muulize BAK,
BAK hebu kuja kipande hii ubhaelezee bhandugu huku habari za nyumbi hii bombi hii!
 
Last edited by a moderator:
Ni aje snowhite? Mie uchakaramu niliokuwa nazungumzia wa kule mahala wala ulikuwa hauwahusu wanawake wa kingoni bana...lakini nimesikia sifa zao nyingi sana labda huyo "mngoni mwitu" hahahahaha lol! Ukijaaliwa kupita Peramiho waambie BAK anawasalimia sana :):)



mtani platozoom chukua hiyo! BAK mi niko poa dear!pole na mihangaiko ya maisha!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom