Sweetlady sema neno moja tu na roho yangu itapona

Unataka kumfundisha wewe tabia ya kupenda hela tatizo wewe unahonga sana halafu unaishia kushikwa kitambi tu
we nitonye wewe,hivi una ubavu wa kumtunza SL? Huyu mtoto breakfast yake serena,lunch Hyatt,diiner spur masakai.SL ashakwambia kuwa dhahabu huwa ananunua gold souk dubai,shopping ya nguo kwenye ule mtaa nyuma ya saville row london,holiday hawaii,akiumwa hata chunusi john hopkins,utamweza weye?
 
Asante MS, angalau wewe umetutakia maisha mema, tutakupa kadi wa kwanza na siku ya harusi yetu utakaa meza kuu na maharusi ( nitonye and sweetlady)
If yu kant bit zem join zem. Namimi nawatakieni maisha mema, katoto ka kwanza kama ni kadume mkaite klorokwini ili kawaletee baraka katika familia, mkikaita uporoto mjue mikosi itawaandama.

Kwa niaba ya hauzigeli wangu hapa ambae analala bila nguo za ndani naomba niibariki ndoa ya nitonye na sweetlady. amen
suali la kizushi: Ina maana ukishakuolewa ndio haunitumii PM tena? khaaa
 
we hujui sifa zetu tukiwa mtandaoni swahiba? Kila mtu msafi, kila mtu ana mihela wakati wachovu tupo kibao. Stuka swahiba.
Hahaha! Swahiba ndio mana umeondoka na wani ya saba, kumbe hata wewe umeshitukia mambo ya mtandaoni eeh?

Wote tu malaika na matajiri wa kufa mtu lolzzz!
 
If yu kant bit zem join zem. Namimi nawatakieni maisha mema, katoto ka kwanza kama ni kadume mkaite klorokwini ili kawaletee baraka katika familia, mkikaita uporoto mjue mikosi itawaandama.

Kwa niaba ya hauzigeli wangu hapa ambae analala bila nguo za ndani naomba niibariki ndoa ya nitonye na sweetlady. amen
suali la kizushi: Ina maana ukishakuolewa ndio haunitumii PM tena? khaaa
Mkuu hili dongo mpaka mtu awe mtaalam ndio atlielewa! asante nimecheka sana!
Karibu jamvini tena! Tulikumiss sana.
 
Umeungana na Bishanga kunivunja mbavu zangu au?..lol...

Amen kwa baraka zako... Kuhusu PM Subiri nitonye a.k.a my lovely husband to be akuje kujibu!
 
Mkuu hili dongo mpaka mtu awe mtaalam ndio atlielewa! asante nimecheka sana!
Karibu jamvini tena! Tulikumiss sana.
Poa kamanda nimekaribia,niliwamiss pia, tunajarib kugawana majukumu ya halusi. Hela ya michango yote iwasilishwe kwangu, wewe tutakupatia jukumu la kumnunulia mkorogo bwana halusi asije akamtisha sweetlady siku ya church
 
Hahahahahaaaaa! Mkorogo??? Daaah! Ndio mana ukipotea nakumiss..
 
Back
Top Bottom