Sweetlady sema neno moja tu na roho yangu itapona

du,ama kweli kufilisika kubaya,yaani toka umesikia TF kaondolewa kitengo cha makontena bandarini ndo unampotezea hivi,acha tu niugulie ndani.

haya na wewe ukipandishwa cheo uje ujisajili kwangu. Sawa bepari la kihaya?
 
Mhhhhhh! KLQN lol! Sikujua kama yule Sheikh Yahya alikuachia mikoba yake. Uwe na weekend njema :):)

hehehe utabiri pia unaendelea kusema kuwa huyu husninyo soon atakuwa Mrs Klorokwini na siku ya harusi atavaa viatu virefu atateleza nitamdaka. Atapata ujauzito ndani ya miezi miwili na kichefchef. Pia ujauzito wake utanifilisi sana kwani atapendelea zaidi karanga na korosho badili ya udongo.

Mkuu BAK na wewe ukuwe na weekend njema pia
 
kwahiyo we mtabiri mi mganga. Mazimwi yangu yanasema siku ya harusi nitakataa kula kiapo, nitakimbilia nyumbani kwa BAK.
 
Nimeamua kufunguka na kuweka hisia zangu wazi kwa huyu binti Sweetlady, sio siri moyo wangu unamiss sana. Popote pale ulipo sweetlady naomba naomba useme neno angalau moja roho yangu iweze kupona na haya maumivu.
I love you!
 
kwahiyo we mtabiri mi mganga. Mazimwi yangu yanasema siku ya harusi nitakataa kula kiapo, nitakimbilia nyumbani kwa BAK.
Khaaaa! kama namuona BAK anavochekelea vile, yaani mali ndani ya shela na lipustiki za halusi halaf inazamia geto lake?
 
Mnaoparamia wake za watu..... Mkijashikishwa ukuta mje muanzishe sredi mtueleze km mlifurahia au mliumizwa. Msijesema sijawaonya. SHAURI ZENU!
Nimecheka kwa laudi spika ya klorokwini khaaa, maneno yako mazito ODM!

Afu wewe sikupendi tena shahidi moyo wangu!
 
haya na wewe ukipandishwa cheo uje ujisajili kwangu. Sawa bepari la kihaya?
Nimekusikia la'aziz,andaa na kiwanja kabisa,sera yangu nikimpenda mwanamke kwanza namtandika na nyumba mengine baadae,mimi ndo bishanga bana.
 
Back
Top Bottom