Sweetlady sema neno moja tu na roho yangu itapona

Hahaha! We mjanja sana bana, daaah, wanipiga changa la macho hivi hivi! Haya bana ukae ukijua wivu sina ila roho inauma!

Usisikilize ya watu hao wanataka kutogombanisha sawa sweety i lovu so much
 
Shemu hata usijihangaishe kufungua bucha, nduguyo kanitenda we acha tu... Nawasiliana na mwenyekiti klorokwini arudishe michango yenu...

Shemeji tulia... Wajua hasira hasara..

Haya mambo tutayasolve... Cheki na M/kiti na mkae kama kamati ndogo na ndoa iendelee.. Tafadhali shem... Itakuwa aibu watu wakija jamani...
 
Shemeji tulia... Wajua hasira hasara..

Haya mambo tutayasolve... Cheki na M/kiti na mkae kama kamati ndogo na ndoa iendelee.. Tafadhali shem... Itakuwa aibu watu wakija jamani...
Ntakucheki lunch time tuongee kwa kirefu...hope utakuwa pale pa siku zote

@ nitonye nimekununia!...
 
Back
Top Bottom