@SweetLady kidogo avunje Ndoa yangu

kwahiyo b52 mi CACICO sasa nimekuwa CUTE????Eeeee ngoja SI apite huku uone kimavi chake?? wewe inaonyesha hata kwenye game ukinogewa, huchelewi kumtaja CUTE badala ya mkeo! hovyooooooo!

cacico mi sijasema aku...
mtafute sweetlady ndo aliuliza mi mtoto mwema aisee halafu raha ya game live na sio Recorded
 
Last edited by a moderator:
kwahiyo b52 mi CACICO sasa nimekuwa CUTE????Eeeee ngoja SI apite huku uone kimavi chake?? wewe inaonyesha hata kwenye game ukinogewa, huchelewi kumtaja CUTE badala ya mkeo! hovyooooooo!

Hovyoooo kabisa cacico afu mie namuuliza anauchongoa, eti anajifanya hajaelewa......hapa ni chit chat na avatar za bandia anachanganya majina je kwenye game itakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
khaaa! yaani mimi muuza ustomach?
hii lazima niripoti kwa mods, vijana ageni kabisa ban yenu inatayarishwa

Darling how are you?.......nilikuwa memiss wewe sana yaan bora ulivyokuja manake leo nisingeweza kupata usingizi kabisaa!.........Achana na majungu ya mleta mada wewe mwenyewe wajua vile nimekusave kwenye simu yangu!
 
am vere vere gud honey, nani kakuuzi leo nimalizane nae. Sjawahi kutukana JF lakini niko tayari kutukana na kulambwa ban kwa ajili yako. mapenzi yangu kwako hayapimiki. siku ukizimia tu basi mi najiuwa kabisa.
 
Kwanza :mwaaah: :mwaaah: :mwaaah: ........Afu mleta mada ( jina lake limenitoka kidogo ) ndie aliyeniudhi kwa siku ya leo.
 
Last edited by a moderator:
Khaa!

Haya bana ngoja nami nibadili majina yenu kwa simu yangu fasta Kongosho ; Mkata Vimeo, Kariakoo sweetlady ; Bodaboda, Tegeta Erickb52 ; Mchimba Makaburi, Kinondoni Bishanga ; Muuza Sanda, Magomeni Rejao ; Mochware Lugalo gfsonwin ; Samaki, Feri Cantalisia ; Meneja , Matak.o Bar BAGAH ; Shoe Shiner Mwenge Preta ; Chipsi, Temeke
Mh Mchimba Makaburi?
Duh lazma niibe simu yako kabisa siliafiki hilo jina au ngoja nikubadili na wewe uwe MDOWEZI teh
 
Last edited by a moderator:
Khaa!

Haya bana ngoja nami nibadili majina yenu kwa simu yangu fasta Kongosho ; Mkata Vimeo, Kariakoo sweetlady ; Bodaboda, Tegeta Erickb52 ; Mchimba Makaburi, Kinondoni Bishanga ; Muuza Sanda, Magomeni Rejao ; Mochware Lugalo gfsonwin ; Samaki, Feri Cantalisia ; Meneja , Matak.o Bar BAGAH ; Shoe Shiner Mwenge Preta ; Chipsi, Temeke
Dah nimecheka mpaka basi....hebu cheki simu ya mama matesha kuna mtu kamsevu 'amina msusi' mwongo huyo ni erickb52 kwa taarifa yako.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom