Swedish Catholic Church hid sex abuse claims | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swedish Catholic Church hid sex abuse claims

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Babylon, Apr 25, 2010.

 1. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  :angry:Swedish Catholic Church hid sex abuse claims

  Published: 25 Apr 10 09:47 CET


  The Catholic Church in Sweden has known for twenty years of claims that two young girls were sexually abused by a priest in the 1950s and 1960s, Dagens Nyheter reports.

  In 1990 one of the two sisters, now in her sixties, contacted the former bishop of Stockholm, Hubertus Brandeburg, to inform him of the girls' abuse at the hands of a priest. At the time the church was investigating other charges relating to the same priest, including accusations from the girls' mother that she and the priest had a sexual relationship from 1958 to 1990.

  "He became irritated and I became angry. The answer I got was pretty much, 'we're conducting our own investigation within the church and it's not something we're planning to talk about," the woman told Dagens Nyheter.

  Bishop Brandenburg died last year.

  The woman also got in touch with a Catholic newspaper in Sweden, which she said did not take her allegations seriously.

  In 2003 the woman contacted the current bishop, Anders Arborelius, to tell him about the priest's sexual relationship with her mother and his sexual abuse of the two girls.

  She later wrote an email to the church detailing the same accusations, to which she received a reply advising her to seek out a conversational therapist.

  At the beginning of last week, with church sex abuse scandals back in the news worldwide, the woman contacted Bishop Arborelius again. This time, the Catholic Church publicly acknowledged the accusations and vowed to launch a full inquiry.

  "I was treated very well by Bishop Anders. He means well and he's understanding. But I didn't get an answer as to why they've only started talking about this now," she told Dagens Nyheter.

  The accused remains a priest but has been transferred to different parishes several times since the 1960s, a pattern typical for clergymen accused of abuses. The findings of the investigation into the charges against him are to be forwarded to the Vatican and could result in him being dismissed from the clergy.

  The priest refused to comment on the accusations or the investigation when contacted by Dagens Nyheter.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Apr 25, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Wengine hawa wanawachekeachekea mapadri na kujilengesha, sasa hivi wamesikia ishu inaibuka ndo wanajitokeza wakidhani kuna malipo watapata...halipwi mtu hapa...kwanini mlikaakimya, kwani mahakama hazikuwepo kipindi hicho?..Acheni kuwapaka matope watumishi!...huh!
   
 3. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Matthew 7 Swahili NT 1 Msiwahukumu wengine, msije nanyi mkahukumiwa na Mungu; 2 kwa maana jinsi mnavyowahukumu wengine, ndivyo nanyi mtakavyohukumiwa; na kipimo kilekile mnachotumia kwa wengine ndicho Mungu atakachotumia kwenu. 3 Kwa nini wakiona kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako, na papo hapo huioni boriti iliyoko jichoni mwako? 4 Au, wawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu, ngoja nikuondoe kibanzi jichoni mwako, wakati wewe mwenyewe unayo boriti jichoni mwako? 5 Mnafiki wewe! Ondoa kwanza boriti iliyoko jichoni mwako na hapo ndipo utaona waziwazi kiasi cha kuweza kuondoa kibanzi kilichoko jichoni mwa ndugu yako. 6 Msiwape mbwa vitu vitakatifu wasije wakageuka na kuwararua ninyi; wala msiwatupie nguruwe lulu zenu wasije wakazikanyaga.
  7 Ombeni, nanyi mtapewa; tafuteni, nanyi mtapata; bisheni, nanyi mtafunguliwa. 8 Maana, aombaye hupewa, atafutaye hupata, na abishaye hufunguliwa. 9 Je, kuna yeyote miongoni mwenu ambaye mtoto wake akimwomba mkate, atampa jiwe? 10 Au je, akimwomba samaki, atampa nyoka? 11 Kama basi ninyi, ingawa ni waovu, mwajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, hakika Baba yenu wa mbinguni atafanya zaidi: atawapa mema wale wanaomwomba.
  12 Watendeeni wengine yale mnayotaka wao wawatendee ninyi. Hii ndiyo maana ya Sheria ya Mose na mafundisho ya manabii.
  13 Ingieni kwa kupitia mlango mwembamba. Kwa maana njia inayoongoza kwenye maangamizi ni pana, na mlango wa kuingilia humo ni mpana; waendao njia hiyo ni wengi. 14 Lakini njia inayoongoza kwenye uzima ni nyembamba, na mlango wa kuingilia humo ni mwembamba; ni watu wachache tu wanaoweza kuigundua njia hiyo.
  15 Jihadharini na manabii wa uongo. Wao huja kwenu wakionekana kama kondoo kwa nje, lakini kwa ndani ni mbwa mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matendo yao. Je, watu huchuma zabibu katika miti ya miiba, au tini katika mbigili? La! 17 Basi, mti mwema huzaa matunda mema, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. 18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mema. 19 Kila mti usiozaa matunda mema utakatwa na kutupwa motoni. 20 Kwa hiyo, mtawatambua kwa matendo yao.
  21 Si kila aniambiaye, Bwana, Bwana, ataingia katika Ufalme wa mbinguni; ila ni yule tu anayetimiza mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni. 22 Wengi wataniambia Siku ile ya hukumu: Bwana, Bwana! kwa jina lako tulitangaza ujumbe wako, na kwa jina lako tuliwatoa pepo na kufanya miujiza mingi. 23 Hapo nitawaambia: Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni mbele yangu, enyi watenda maovu.
  24 Kwa sababu hiyo, kila mtu anayeyasikia maneno yangu na kuyazingatia, anafanana na mtu mwenye busara, aliyejenga nyumba yake juu ya mwamba. 25 Mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo. Lakini haikuanguka kwa sababu ilikuwa imejengwa juu ya mwamba. 26 Lakini yeyote anayesikia maneno yangu haya bila kuyazingatia, anafanana na mtu mpumbavu aliyejenga nyumba yake juu ya mchanga. 27 Mvua ikanyesha, mito ikafurika, pepo kali zikavuma na kuipiga nyumba hiyo, nayo ikaanguka; tena kwa kishindo kikubwa."
  28 Yesu alipomaliza kusema maneno hayo, umati wa watu ukashangazwa na mafundisho yake. 29 Hakuwa kama walimu wao wa Sheria, bali alifundisha kwa mamlaka.
   
 4. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  kila nchi naona itakuja na lake!
   
 5. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #5
  Apr 26, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,209
  Likes Received: 1,010
  Trophy Points: 280
  Msamaha hauwi msamaha mpaka umekubaliwa na mkosaji. Sasa kama hao wanaoitwa watumishi hawaku-realise kosa lao na kuuomba kusamehewa haiwezekani kusameheka kwa kuombewa msamaha na watu wengine. Tena ukizingatia mwenye kutendewa kosa hajaona hatua zilizochukuliwa za kumrizisha. MSIFIKIRI MIMI NDIE NINAEWAHUKUMU, BALI NENO LILE NILILOWAAMBIA NDILO LINALOWAHUHUMU. hayo ni maneno ya Bwana Yesu.
   
 6. kahtaan

  kahtaan JF-Expert Member

  #6
  Feb 9, 2014
  Joined: Jul 11, 2009
  Messages: 16,783
  Likes Received: 1,662
  Trophy Points: 280
  Hakuna cha fidia wala msamaha hapo.!

  HAWA WALIOKAMATWA DAWA YAO NI KUKATA KICHWA HADHARANI!!

  Mi najitole kuifanya hio kazi!
  TENA BILA MSHAHARA.
   
Loading...