Swedi Mwinyi aokoa studio za TBC Taifa kuungua kwa moto

Ingeungua TU, haina maana yoyopte, kama ni habari tuna vyanzo mbadala vya habari hawa washenzi wanakula/ jiendesha kwa kodi za walala huo lakini wanakitangaza watawala tu

Naamini Tanzania inaweza ikawa mahali salama tena saana bila hawa wanafiki

wangekuwa waungwana wangekuwa kama DW ya Ujerumani
 
Hapa bwana tumetapeliwa viingilio vyetu,
haiwezakani picha linaisha halafu eti ADUI ANABAKI HAI,
labda kama kuna Part 2 yake
 
kweli nimeamini wa bongo hatupendani baada ya kupeana pole si tunaona bora watu wafe..Praaaaaaaaaaaaaaah..
Siyo kwamba tunachukiana...ila hichi chombo cha habari cha umma,kimekuwa kinatumiwa vibaya sana na wezi wa ccm, na hakina maslahi kwa umma,na waajiriwa wote pale ni walamba viatu wa mafisadi,bora wangeungulia humo wote!!Salam kwa brother wangu wa ukweli Tido!!we missing you broh!!
 
Hii ni hujuma kubwa kwani last week waliiba Servar kubwa ya kuhifadhia vipindi.

Nafikiri Mkurugenzi mpya alitupie machi hilo kwani bila shaka hizo ni subotage
 
Polen TBC Sued mwinyi,Jesse john na crew nzma ya michezo nawakubali ila huwa mnaboa zaid kuegemea serikalin kwny chama tawala na kuacha kuutumikia umma
 
Siyo kwamba tunachukiana...ila hichi chombo cha habari cha umma,kimekuwa kinatumiwa vibaya sana na wezi wa ccm, na hakina maslahi kwa umma,na waajiriwa wote pale ni walamba viatu wa mafisadi,bora wangeungulia humo wote!!Salam kwa brother wangu wa ukweli Tido!!we missing you broh!!
Licha ya kuwa chombo kinaendeshwa hovyo, sio vizuri kuombea madhara yawapate na binadamu!
 
ingeungua tuuu! au walishaiba
wakataka kupoteza ushahidi make
hii nji hii ni matapeli tuu
baada ya kuona mambo mabaya
wanaunguzaga teteteteheheh
 
Jamani tulitakiwa kutoa pole kwa shirika letu la utangazaji na si kuwaponda watendji wake ambao wengi wao hawanahatia. Big up kaka PRUDENSI CONTASTINE!!
 
Nasikitika kwakua mliwahi kuzima moto huo. . . Sioni faida ya Tbc, TSN,ni matawi ya Ccm na vitengo vya propaganda vya chama cha magamba.. .NAOMBA kwa muumba Tbc na Tsn WAUNGUE NA MOTO WOTE wawe majivu.

Kwani si CDM mnasema mtachukua nchi 2015, Hamuwataki Polisi woote, JWTZ, Usalama wa taifa,Mahakama, TBC hivi mkichukua nchi mtaweka Machine Gun Muwaondoe wote hao? Mtaanzisha jeshi jipya, polisi wapya mahakama mpya, TV Mpya? na hapo kwenye nyekundu ile gari huenda ni yako unatumia style ya ki-Osama Osama, badala ya kulipua umeiwasha moto.
 
Back
Top Bottom