Sweden inaichokoza Tanzania

Ciprofloxacin.

JF-Expert Member
Apr 15, 2015
1,583
2,696
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? Ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu Jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia katika taifa la watu kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana viongozi wa serikali?

Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund, Jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata kama anafanyia harakati zake Kenya.
 
Attachments

  • tmp-cam--67679056.jpg
    tmp-cam--67679056.jpg
    31.4 KB · Views: 127
Hii dhahiri kuwa serikali ya Sweden inatutafuta ugomvi wa wazi kabisa.
Kwanini imemtuma huyu mwanamke kuifanyia fujo nchi yetu huko Loliondo? ukitaka kuamini kuwa Sweden inatuchokozi, hata baada ya huyu mwanamke kuzuiwa kuingia Tanzania na passport yake kupigwa muhuri unaomzuia kuingia Tanzania, bado serikali ya Sweden ilimpatia mwanamke huyu jasusi passport #82562397 ya mwaka 2011 na kisha akarudi tena Tanzania kupitia Namanga ,na kuendelea kuichafua Tanzania mitandaoni, mtu aliyeingia ktk taifa la watu Kama mtalii anakujaje tena kuanza kuwa mwanaharakati na kuwatukana Viongozi wa serikali?
Swali langu, Sweden inatutafuta nini?

Susanna Nordlund ,jasusi la Sweden lililotumwa Kwa kazi maalumu, serikali mkamateni huyu mtu hata Kama anafanyia harakati zake Kenya.
We Lumumba, Sweden huiwezi hata kwa lolote, si kwa jeshi, mali, etc, etc, etc, etc, etc................................ We need diplomatic approach siyo kuwa mechanidal kama unavyoshauri!
 
We Lumumba, Sweden huiwezi hata kwa lolote, si kwa jeshi, mali, etc, etc, etc, etc, etc................................ We need diplomatic approach siyo kuwa mechanidal kama unavyoshauri!
Acha upuuzi wewe, kwanza Mimi siyo Lumumba, mimi na ccm ni maji na mafuta, pili, ktk suala la taifa hakuna upuuzi unaosema hapa eti diplomatic approach Kwa mtu yeyote anayejaribu kugusa taifa letu, hata angekuwa mmarekani angekamatwa tu, utajiri na nguvu ya jeshi haviwiani kabisa ktk kumwajibisha mhalifu.
 
Sasa wewe mbona sijakuelewa hata unaongea kitu gani hapo naona tu jasusi mwanamke Sweden

Leta maelezo yenye mashiko unawaelezea watu as if tunajua jilo swala kiundani wengine tupo Chechnya huku.
 
Acha upuuzi wewe, kwanza Mimi siyo Lumumba, mimi na ccm ni maji na mafuta, pili, ktk suala la taifa hakuna upuuzi unaosema hapa eti diplomatic approach Kwa mtu yeyote anayejaribu kugusa taifa letu, hata angekuwa mmarekani angekamatwa tu, utajiri na nguvu ya jeshi haviwiani kabisa ktk kumwajibisha mhalifu.
Tumia lugha safi basi, upuuzi ni tusi. Ngoja nisikurudishie. Ipo siku, nakujua sana humu ni mchangiaji mzuri nakufahamu. We ni mwenzangu angalau kwa hili la CCM. Tuje kwenye mada, Kuna namna ya kudeal ma mtu anayekuzidi kwa kila hali. Ukibishana na USA/Uingereza mechanically, akiamua jioni unaachia ngazi ya madaraka yako! We need a diplomatic approach, unamkamata kwa misingi ya sheria siyo kama wanavyowafanyia chadema! Ukiwafanyia kama wanavyofanyiwa UKAWA watakutumbua siku hiyo hiyo! Muulize gadafi, Sadam Noriega etc!
 
Kwani chadema wanakamatwaje mkuu?
 
Hii stoy kama vile ilianzia facebuku kisha bahati mbaya ikaja maliziwa huku. Maana haionyesho mwanzo tunaona lawama tu kwa wa swidish, haya huyo jasus kaima twiga wangapi huko oman ( eneo kubwa la loliondo liko chini ya ufalme wa oman)
 
Tumia lugha safi basi, upuuzi ni tusi. Ngoja nisikurudishie. Ipo siku, nakujua sana humu ni mchangiaji mzuri nakufahamu. We ni mwenzangu angalau kwa hili la CCM. Tuje kwenye mada, Kuna namna ya kudeal ma mtu anayekuzidi kwa kila hali. Ukibishana na USA/Uingereza mechanically, akiamua jioni unaachia ngazi ya madaraka yako! We need a diplomatic approach, unamkamata kwa misingi ya sheria siyo kama wanavyowafanyia chadema! Ukiwafanyia kama wanavyofanyiwa UKAWA watakutumbua siku hiyo hiyo! Muulize gadafi, Sadam Noriega etc!
Hapo upo sawa mkuu
 
..Tunaweza kumlaumu huyo mama lakini huenda lawama zake zikawa za faida kwa taifa letu...as you know matwiga yalikuwa yanapanda ndege and so n so.../
---angelikuwa mwarabu ningelishtuka sana....
 
Kwani chadema wanakamatwaje mkuu?
Ukiikosoa serikali tu au kuwa kinyume nayo bila hata kuvunja sheria unakamatwa na kulazwa ndani, ( LISU, CHASO etc) then unapelekwa mahakamani. Hawa diplomats ukiwafanyia uvunjaji wa haki za binadamu of that magnitude, hawatakuvumilia, watakutumbua! Ndio maana wachina wanafanya "ushenzi" kwa watu wetu wanachelewa! Tumejikakamua kwa binti wa meno ya ndovu na ni kwa vile she was not a diplomat!
 
Back
Top Bottom