swali

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,600
1,015
nawasalimuni wote mabibi na mabwana.
Jana nimekutana na classmate yangu fulani tulisoma naye halafu alivyoondoka nikajikuta napata swali.
Huyu classmate yangu ni wale wanaovaa hijabu ya kufunika hadi macho/kininja,sasa jana wakati natembea nikasikia mtu aliyevaa kininja akiniita,alikua ni huyu rafiki yangu tulisoma naye,yeye alinitambua lkn mimi nisingeweza kumtambua kutokana na jinsi anavyovaa.
Sasa swali langu ni kwamba,hivi wale wanaovaa vile/kininja wakipishana barabarani na wengine waliovaa vile wanawezaje kufahamiana.?
Mfano mimi ningekua nimevaa pia kama yule classmate yangu si asingeweza kunitambua eeh?
IN GOD WE TRUST!
thank you.
 
Pole queenkami...naona uzi wako haujapata mvuto bado. Ila nahisi watu watadhani wewe ni mimi na mimi ni wewe na hivyo nimejijibu mwenyewe....hehehehehe jambo usilolijua bana aaaagh
 
Pole Queenkami kama na wewe ungekuwa umevaa kama yeye ni dhahiri mngepishana bila kutambuana ,
kazi kweli kweli :smile::smile:
 
mashetani yenu yangejuana tu na kusalimiana,Je na wewe ni m/ke kama ni m/me angalia sana wavaa hijab mara nyigi ni wale walioisha na HIV hivyo waficha sura zao wasijulikane au Changu wa nguvu mchana hijab usiku mhh!!!
 
we muro hebu omba radhi haraka hapo kwenye nyekundu mana hata hujui ulichoongea usikute nawe tukikupima una HIV na hijab huvai sijui utasemaje
 
swali lako ni zuri sana na wala jibu si tu kama msingefahamiana kwani hilo ni dhahiri kabisa. basi mengine yanabakikwako wewe labda waonaje hayo mavazi lengo hasa ni kuficha sura au kujisitiri. na je kama yanasaidia watu wayaige. au unataka kusema wanovaa wanakosa kitu fulani na kupata kingine bora zaidi nacho ni kipi?
 
sipendi kuingia sana kwenye imani za kidini ila inasemekana mavazi haya yalipitishwa rasmi wakati wa mtu.... ili kuficha uzuri wa mwanamke baada ya mmoja wa yule mhe....kumegwa nje ya ndoa,hata hivyo kwa dunia hii ya leo hayastahili lazima tukubali mabadiliko ya kuwa uwezo wetu wa kufikiri ni mkubwa zaidi ya wakale hao,vilevile wametokea watu kama kina OSAMA kwa kutumia imani hiyo na mavazi hao wanawadanganya wanadamu kuwa kuvaa hivyo na kujilipua kuua wengine ndiyo kwenda peponi.Hata Ulaya wanayapiga marufuku sembuse siye?tuombe mungu yasitukute ya kama huko Iraq,Afgn,na kwingineko nashauri yasiigwe kabisaaaaaa.
 
Pole queenkami...naona uzi wako haujapata mvuto bado. Ila nahisi watu watadhani wewe ni mimi na mimi ni wewe na hivyo nimejijibu mwenyewe....hehehehehe jambo usilolijua bana aaaagh

ungenipa jibu tu wangu labda uzi ungepata mvuto.
kweli kabisa wasilolijua ni sawa na .....
 
swali lako ni zuri sana na wala jibu si tu kama msingefahamiana kwani hilo ni dhahiri kabisa. basi mengine yanabakikwako wewe labda waonaje hayo mavazi lengo hasa ni kuficha sura au kujisitiri. na je kama yanasaidia watu wayaige. au unataka kusema wanovaa wanakosa kitu fulani na kupata kingine bora zaidi nacho ni kipi?

thanks kwa kujibu kuwa tusingefahamiana.
hapo pa pink mim sina matatizo yeyote na uvaaji huo na wala sina uwezo wowote wa kusema kitu juu ya uvaaji huo sbb hakuna anayesema juu ya uvaaji wangu wala imani yangu.kila mtu yuko huru kuvaa na kuamini vyovyote mradi sheria haivunji.
 
mashetani yenu yangejuana tu na kusalimiana,Je na wewe ni m/ke kama ni m/me angalia sana wavaa hijab mara nyigi ni wale walioisha na HIV hivyo waficha sura zao wasijulikane au Changu wa nguvu mchana hijab usiku mhh!!!

mpendwa kinywa kilimponza kichwa.
maneno yako sijayafurahia.heshimu imani na tamaduni za wengine ili nao waheshimu ya kwako.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom