Voice Of Zigua Member Apr 22, 2016 37 4 Apr 22, 2016 #1 Hivi tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule?
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,938 162,128 Apr 22, 2016 #2 Voice Of Zigua said: Hivi tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule? Click to expand... Swali kwa swali; Wew unaishi? Je unakula? Kwanini unakula!
Voice Of Zigua said: Hivi tunakula ili tuishi au tunaishi ili tule? Click to expand... Swali kwa swali; Wew unaishi? Je unakula? Kwanini unakula!
Voice Of Zigua Member Apr 22, 2016 37 4 Apr 22, 2016 Thread starter #3 Mimi naishi ili nile kwasababu nikifa sitoweza kula
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,205 4,065 Apr 22, 2016 #4 ni hivi tupo ili tuishi kwa kula!..... umeelewa,?