iparamasa
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 13,437
- 14,924
Hawa wenye kesi za mauaji wamekuwa wakiandaliwa "session" na mahakama kuu ambapo majaji huteuliwa na kwenda maeneo mbalimbali kuzisikiliza na kuziamua.
Kuna tetesi zimezagaa kwamba kwa mwaka 2016,ndugu zetu hawa hawajapata kuitwa mahakamani kusikilizwa tuhuma zao
Hawa ni watuhumiwa tu,kuwaweka mahabusu bila kuwasikiliza si haki.
Pia nasikia hata mahakama kuu za kanda za biashara na mahakama kuu ya kanda ya migogoro ya kazi nazo kwa mwaka 2016 "ni kama hazijafanya kazi"
Kuna kanda moja,jaji kwenda mara moja tu!!