Swali wandugu naomba msaada wenu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali wandugu naomba msaada wenu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hardman, Jun 27, 2011.

 1. H

  Hardman JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  nimepitia habari ya gazeti la mwananchi asubuhi hii...mbunge mmoja anashauri walimu ambao ni wafungwa magerezani watumike kufundisha shule za kata.SWALI;huko magerezani kuna waalimu wangapi?
   
 2. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Mh??makubwa??
   
 3. H

  Hardman JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 597
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 60
  Pitia gazeti mwananchi la leo tar 27 june hayo yote utayakuta
   
Loading...