sepema
JF-Expert Member
- Jun 13, 2019
- 591
- 1,000
Salaam kwenu,
Kama swali linavyouliza. Inawezekana rais wa TFF kumiliki timu yaligi kuu akiwa madarakani?
Kama inawezekana sitakuwa nabswali lingine, kama haiwezekani nina swali lifuatalo;
Patrick Motsepe ni rais wa CAF. Mheshimiwa huyu anaimiliki klabu ya soka ya Mamellody Sundowns ya pale S. Afrika.
Klabu hii kwa miaka kadhaa imekuwa ikishiriki mashindano mbalimbali ya vilabu inayoandaliwa na CAF. Swali ni je, hakuna mgongano wa maslahi kwa Motsepe katika kutekeleza majukumu yake Kama rais wa CAF na Kama mmiliki wa klabu?
Mfano; Ikatokea klabu ya Mamelod imekutwa na utovu wa nidhamu, kamati za CAF zinaweza kutoa adhabu mathalani kuifungia bila kupepesa macho?
Au sheria za CAF na mashirikisho ya michezo ya nchi zinatofautina?
Wasalaam!