SWALI; Vijana wengi wa Tanzania wako Chama gani, CCM au CHADEMA?

Ben,
Kuna vigezo vingi sana tunatumia kufanya tafiti ndogo, ikiwa ni pamoja na kuuliza maswali.

Hivi unavijua vigezo vya mtu kuitwa mwanachama wa chama fulani??

Ukiongelea utafiti maana yake kuna sampling methodology.Hapa utawezaje kuzipata?

Hiyo unayoongelea ni questionaire.Hapa umefika fikaje?
 
Bila kujiuliza kama tunafanya quantitative or qualitative analysis au bila kujiuliza which parameters ambazo ni scientific tuzitumie. Nikitumia kigezo cha mazingira na uzoefu wa ninakopita, vijana wengi wanaipenda CHADEMA (bila kujali kama ni wanachama au wapenzi tu wa chama hicho)

Ukiona kijana anaishabikia CCM au hata kavaa kiashiria chochote cha kiCCM, basi ujue ana akili za kushikiwa. Na akizeeka lazima awe mchawi. Take it from me!
 
JF Salaam,
Naomba tujiulize, hivi vijana wengi wa Tanzania wako chama gani kati ya CCM na Chadema??

kwa Tanzania,unachotakiwa kuangalia ni wapiga kura,maana vijana hata kama utakuwa nao wengi ktk chama,kazi yao kubwa ni kupiga kelele,kufuata bendera kama upepo na mizuka mingi,mwisho wa siku unapofika wakati wa kuvunia juani ,vijana huwa hawako tayari kuumizwa na jua na hupenda kutumia kilichovunwa.hapo ndipo tatizo linapoanzia.

jibu la swali lako ni kwamba,vijana wengi hawana vyama,husubiri tu wakati wa neema,ndipo utawaona na wakati wa kupiga kura hawaonekani.
 
Vijana wengi wa kitanzania wasiokuwa na akili timamu na wasiojitambua wako CCM ama CHADEMA ila vijana wengi wa kitanzania wenye misimamo na tunaojitambua hatuna ushabiki wa kudumu na vyama vya siasa, wengi wetu ni wafuasi wa chama chochote kile kinachotetea kwa kweli na dhati kabisa interest zetu! So hata kesho wewe ukianzisha chama kitakachojipambanua kama mkombozi wetu sisi vijana tutakusupport ila ukibadilika tu na sisi tutabadilika!!!
JF Salaam,
Naomba tujiulize, hivi vijana wengi wa Tanzania wako chama gani kati ya CCM na Chadema??
 
Vijana wote walio CCM wana matatizo au baba zao wana vyeo katika serikali au CCM kwenyewe. Sidhani kama vijana wengi Tanzania wana matatizo au wazazi wao wana vyeo serikalini na CCM. Hilo ni jibu tosha kuwa vijana wengi hawako CCM.
 
pamoja na mapungufu makubwa uliyonayo , lakini ngoja nikusaidie kitu, KWENYE MASUALA YA POSHO , vijana wengi wako ccm , maana tumewaruhusu wakazitafune ,ni zao ! hakuna haja ya kujivunga ! ( REJEA NGUMI ZA MARA KWA MARA PALE UVCCM ) , bali kwenye SANDUKU LA KURA wako chadema tena kwa kujitolea ! kwa ajili ya kushiriki kwenye ukombozi wa nchi , JE UMEELEWA ?
 
Waliopo CHADEMA ni WACHACHE ila ndio BORA ZAIDI. Waliopo ccm ni wengi kwa idadi ila kichwani hamna kitu, wanarithi ufisadi wa wakubwa wao tu!
 
pamoja na mapungufu makubwa uliyonayo , lakini ngoja nikusaidie kitu, KWENYE MASUALA YA POSHO , vijana wengi wako ccm , maana tumewaruhusu wakazitafune ,ni zao ! hakuna haja ya kujivunga ! ( REJEA NGUMI ZA MARA KWA MARA PALE UVCCM ) , bali kwenye SANDUKU LA KURA wako chadema tena kwa kujitolea ! kwa ajili ya kushiriki kwenye ukombozi wa nchi , JE UMEELEWA ?

Nani kakuambia uvccm wanagawa posho?
 
Back
Top Bottom