SWALI; Vijana wengi wa Tanzania wako Chama gani, CCM au CHADEMA?

Khaa!! Huo utafiti uliufanyia wapi?? Vijana gani uliowahoji?? Utafiti ni fani sio unakunywa tu viroba kisha unaleta ulevi wako hapa. Hapo kwenye nyekundu Hivi unajua sera za Chadema katika uendeshaji wa njia kuu za uchumi au unaongea tu?? Acha ulevi Jifunze bana :cool2:

Anzisha poll hapa jf uone! Mtakomea watoto wa mafisadi na wale wachache walamba viatu.
 
Unaulize makofi polis ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.from iringa municipal
 
JF Salaam,
Naomba tujiulize, hivi vijana wengi wa Tanzania wako chama gani kati ya CCM na Chadema??

Vijana wengi ni wachumia tumbo, ndiyo kwanza wanaanza harakati za maisha ya kujitegemea....kwa hiyo wengi hawana affiliations za kudumu bali maslahi ya kudumu.

Kutegemea na maslahi ya muda mfupi(bahasha za kaki, fulana nk) yapo upande upi, hayo huchangia kwenye maamuzi yao.

Kujibu swali lako, hawako chama chochote, bali husukumwa na hisia za wapi patawafaa. Infact ukitegemea vijana wa ki-Tz kuwa ndiyo ngao yako katika siasa zetu, basi uwezekano mkubwa ni kuwa itakula kwako....ilitokea 1995 kwa NCCR, 2000 kwa CUF, 2005 & 2010 kwa CDM na itatokea tena kwa CDM 2015.
 
Anzisha poll hapa jf uone! Mtakomea watoto wa mafisadi na wale wachache walamba viatu.
Khaa!! Ni mtafiti mbumbumbu atakayechukua maoni ya hapa JF pekee kama ndiyo yanariflekt jamii nzima. Kama sikosei tuliwahi kupata rais wa JMT hapa JF aliyeshinda kwa zaidi ya 75%. Kiko wapi sasa?? Acheni ujinga bana lazima ujue kanuni za utafiti ndiyo uanze kuufanya na siyo unakurupuka tu na viroba kichwani halafu unaleta ulevi wako hapa ukidai ni utafiti huko ni kuitusi taaluma. Hata hivyo sio vibaya kama mkitumia matokeo ya utafiti wenu kujipa faraja ya muda kwa kugonganisha bilauri za mvinyo...ndiyo kawaida ya walevi
 
Khaa!! Huo utafiti uliufanyia wapi?? Vijana gani uliowahoji?? Utafiti ni fani sio unakunywa tu viroba kisha unaleta ulevi wako hapa. Hapo kwenye nyekundu Hivi unajua sera za Chadema katika uendeshaji wa njia kuu za uchumi au unaongea tu?? Acha ulevi Jifunze bana :cool2:

Nilitegemea useme hivi, kwa sababu tunacheza na ulaji wako.
 
Vijana wengi wana hamu ya mabadiliko
Wanaona kuwa hali ngumu ya maisha,wizi wa mali za umma na nchi kutokuwa na dira maalum ya uchumi imeletwa na na CCM.Viongozi wengi wa CCM hawana uchungu na maisha ya mwananchi wa kawaida,na wanafikiri uongo ndo utawasidia kushika dola bila kikomo.Hivyo,tegemeo kubwa la vijana ni kuona mabadiliko katika mfumo wa utawala,uwe utaletwa na CDM au chama kingine chochote cha upinzani chenye nguvu.
 
Vijana wenye fikra pevu, kwa sasa tunaendelea kutafakari chama gani ni sahihi na chenye utashi wa kusimamia masilahi ya watanzania; kwa sasa CDM imepwaya na vijana tumegundua kuwa ni Saccos ya ukoo!

Umegundua wewe na nan??
 
Back
Top Bottom