OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,095
- 103,343
CCM hakuna vijana kuna wachumia matumbo!
Khaa!! Huo utafiti uliufanyia wapi?? Vijana gani uliowahoji?? Utafiti ni fani sio unakunywa tu viroba kisha unaleta ulevi wako hapa. Hapo kwenye nyekundu Hivi unajua sera za Chadema katika uendeshaji wa njia kuu za uchumi au unaongea tu?? Acha ulevi Jifunze bana :cool2:
CCM hakuna vijana kuna wachumia matumbo!
ccm hakuna vijana kuna wachumia matumbo!
sasa mkuu waweza kusema huyu kijana?si mchumia tumbo tu huyu,njaa isitutoe utuUmemaliza kila kitu mkuu!
cheki hapa povu linavobubujika,sijui hata kaandika niniUnaulize makofi polis ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu.from iringa municipal
Vyama vingine vijana waloo tu wamadaraka ..
JF Salaam,
Naomba tujiulize, hivi vijana wengi wa Tanzania wako chama gani kati ya CCM na Chadema??
Khaa!! Ni mtafiti mbumbumbu atakayechukua maoni ya hapa JF pekee kama ndiyo yanariflekt jamii nzima. Kama sikosei tuliwahi kupata rais wa JMT hapa JF aliyeshinda kwa zaidi ya 75%. Kiko wapi sasa?? Acheni ujinga bana lazima ujue kanuni za utafiti ndiyo uanze kuufanya na siyo unakurupuka tu na viroba kichwani halafu unaleta ulevi wako hapa ukidai ni utafiti huko ni kuitusi taaluma. Hata hivyo sio vibaya kama mkitumia matokeo ya utafiti wenu kujipa faraja ya muda kwa kugonganisha bilauri za mvinyo...ndiyo kawaida ya waleviAnzisha poll hapa jf uone! Mtakomea watoto wa mafisadi na wale wachache walamba viatu.
Khaa!! Huo utafiti uliufanyia wapi?? Vijana gani uliowahoji?? Utafiti ni fani sio unakunywa tu viroba kisha unaleta ulevi wako hapa. Hapo kwenye nyekundu Hivi unajua sera za Chadema katika uendeshaji wa njia kuu za uchumi au unaongea tu?? Acha ulevi Jifunze bana :cool2:
CCM hakuna vijana kuna wachumia matumbo!
Khaa!! Kumbe huna hoja ya maana..Nilitegemea useme hivi, kwa sababu tunacheza na ulaji wako.
Ina maana hawa Viongozi wa CCM leo ni wachawi?? Zamani si walikuwa vijana.
Vijana wenye fikra pevu, kwa sasa tunaendelea kutafakari chama gani ni sahihi na chenye utashi wa kusimamia masilahi ya watanzania; kwa sasa CDM imepwaya na vijana tumegundua kuwa ni Saccos ya ukoo!