SWALI; Vijana wengi wa Tanzania wako Chama gani, CCM au CHADEMA?

Wengi ni washabiki tu wa vyama, na kwa hilo CDM inaongoza TZ yote. Kuhusu wanachama utabidi ufanye utafiti kwa twakwimu halisi. Fanya ulete majibu
 
Nimefanya Utafiti na nimebaini kuwa kati ya Vijana 10, Vijana 8 Wanaikubali Chadema pamoja na Ukawa kwa ujumla. Na hii ni kutokana na Chadema pamoja na Viongozi wake kuwapigania wananchi walio katika lindi la umasikini uliosababishwa na Serikali hii ya CCM inayohubiri Ubunafsishaji kwa miaka zaidi ya ishirini iliyopita.

Vijana wengi waame choshwa na hali ya kuendelea kuwa madaraja ya viongozi wa CCM kuvuka kila unapofika wakati wa Uchaguzi na kuwa Ngazi za kupandia juu kila uchaguzi.

Cha Msingi sasa ni Chadema/Ukawa kubuni utaratibu wa kuhakikisha vijana hawa wanatengenezewa utaratibu wa kushiriki katika ujenzi wa Chama kilichobora na katika harakati mbali mbali za kuleta Ukombozi wa mara ya pili.

Nawasilisha...
 
Kazi ni moja tu. Vijana waache uvivu wakajiandikishe kwenye daftari la kupiga kura
 
Nimefanya Utafiti na nimebaini kuwa kati ya Vijana 10, Vijana 8 Wanaikubali Chadema pamoja na Ukawa kwa ujumla. Na hii ni kutokana na Chadema pamoja na Viongozi wake kuwapigania wananchi walio katika lindi la umasikini uliosababishwa na Serikali hii ya CCM inayohubiri Ubunafsishaji kwa miaka zaidi ya ishirini iliyopita.

Vijana wengi waame choshwa na hali ya kuendelea kuwa madaraja ya viongozi wa CCM kuvuka kila unapofika wakati wa Uchaguzi na kuwa Ngazi za kupandia juu kila uchaguzi.

Cha Msingi sasa ni Chadema/Ukawa kubuni utaratibu wa kuhakikisha vijana hawa wanatengenezewa utaratibu wa kushiriki katika ujenzi wa Chama kilichobora na katika harakati mbali mbali za kuleta Ukombozi wa mara ya pili.

Nawasilisha...
Khaa!! Huo utafiti uliufanyia wapi?? Vijana gani uliowahoji?? Utafiti ni fani sio unakunywa tu viroba kisha unaleta ulevi wako hapa. Hapo kwenye nyekundu Hivi unajua sera za Chadema katika uendeshaji wa njia kuu za uchumi au unaongea tu?? Acha ulevi Jifunze bana :cool2:
 
Back
Top Bottom