Swali: Tunaomba jibu, vipi kati ya Bukoba mjini na Moshi mjini mji upi mkubwa?

KAOROGOMA

JF-Expert Member
Jun 26, 2015
511
769
Ndugu wanajamii,

Nauliza swali langu lenye kutaka jibu la uhakika na lisilopotoshwa kiukanda;
1. Moshi na Bukoba mjini wapi mji mkubwa kimajengo?
2. Ni mji upi una coverage area kubwa?
3. Wapi wana majengo marefu kuzidi mji mwingine?
4. Mji gani una wakati wengi na mzunguko wa hela mkubwa?
5. Wapi kuna viwanda vingi?
6. Wapi kuna Makazi bora yawananchi?

Namaanisha Bukoba mjini against Moshi mjini waweza kukuwekea na picha.
 
Kayaleta yote haya alieanzisha uzi wa dodoma versus moshi hana maana kabisa huyo mtu hafai kabisa na si mtu.
 
jibuni maswali Kwa hoja acheni ukanda njoo na vigezo asichangie mtu Kwa mapenz
 
Moshi imeizidi sana Bukoba kwa kila kitu japo sifa inayofananisha sehemu ni kuwa watu wa pande hizo wamejenga mijengo mizuri vijijini. Mi ni mzaliwa wa Bukoba na Nimesomea pia Moshi hivyo hii miji naijua vizur sana.
 
Wachagga vs Nshomile, makabila makubwa yaliyoenda shule. Somebody pass on the popcorn. This movie gonna be good!
 
Tribalism will erupt here very soon.. Please fungeni hii thread maana ni hivi punde yataanza yale mambo ya "wachaga wezi"
 
moshi ni Mji Mdogo Kwa coverage area with 58 square meters, while bukoba have 80 square meters, hivyo moshi ni Mji mdogo ukilinganisha na bukoba, pia Kwa fursa bukoba iko na fursa nyingi Sana kwa vile location yake iko Mahala pazuri, Karibu na ziwa, lakini kwa wanapoenda mwonekano wa juu tu moshi iko juu kwa mwonekano wa usafi na u modern, pia
 
Kulinganisha Moshi na Bukoba ni sawa na kulinganisha USA na Romania.....

Acha dhihaka Moshi is superior.....
 
Back
Top Bottom