Swali: Swali kwanini Ujerumani wameishauri Tanzania harakaharaka itumie gesi kufua umeme?

Binafsi sipingi uwepo wa huu mradi ila napata shida na pale ninapokumbuka tayari kuna mradi ambao ulishaanza na plan ilikuwa 2018 tuwe tayari na 2000MW, ili kukamilisha mradi huo tayari lilishajengwa bomba la gas kutoka mtwara na plant ya madimba pale msimbati lengo ni kuwa na supply ya kutosha ya gas ili kukamilisha mradi huu..

Kuachana na hii plan huoni kama ni hasara kubwa sana kwa kodi za watanzania ambao wengi wao ni masikini lakini kodi zao zinachezewa..?? Je unafikiri ipo sababu yoyote muhimu inayoonyesha kuna hasara kuubwa tutapata au kutakuwa bado na shida ya umeme tukiukamilisha huo mradi wa gas 2000MW, ??
Sina utaaramu katika masuala hayo nahitaji muda kufanya uchunguzi juu ya miradi hiyo miwili lakini kubwa ninalo lifahamu juu ya Gas ni kuwa miradi yake inaendelea maana zinazofanya kazi mpaka sasa ni kinyerezi 1&2 na wakati huohuo ujenzi wa kinyerezi 3 unaendelea na kinyerezi 4 kama wakitaka nao ufanyike wafanya maamuzi! Lakini Cost za Mradi na ukarabati wa mitambo ndipo huwa kuna ghalama sana kuliko umeme wa maji! na hiki ndicho kinakuja chini kabisa kwa mlaji kuuziwa umeme bei kubwa wakati umeme wa maji una nafuu! mfano mzuri ni China ana gas zaidi tuliyonayo Tanzania lakini kwanini alianzisha ujenzi wa bwawa ili apate umeme?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Wataalamu ni akina nani? Yaani mbunge wa ujerumani ni mtaalamu wa mazingira? Au we kila mzungu kwako ni mtaalam!
Yaani wewe ni msee...maana wabunge wengi kwa wenzetu ni wasomi wanaongea mambo ambayo ni fact ni wataalamu kwenye fani mbalimbali husunani hawa wazungu kwa hiyo kinachoongelewa ni vyakitaalamu tofauti na hawa vilaza kama akina msukuma kibajaji na jamii kama hiyo ila wewe hujui lolote erotic dreams zitakuwa zinakutaabisha tororo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.
Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.
Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo serikali yetu iliwalipa fedha kufanya kazi hiyo.
Ukweli ni kwamba team hiyo ilifanya kazi hiyo na kuandika ripoti yake ambayo ilieleza kwamba madhara ya kwnye mazingira kama mradi huu ukitekelezwa yatakuwa makubwa sana hivyo wakashauri mradi huu usitekelezwe na wakashauri serikali ijikite kwenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ambayo inapatikana mtwara kwani uzalishaji wa umeme kwa kutumia umeme hautakuwa na madhara kwenye mazingira kama mradi wa stiglers gorge.
Sasa bana ripoti hii iliwasilishwa kwanza wizara inayohusika na mazingira ya bwana January.
Waziri akakubaliana na ripoti naye akaifoadi ikulu.
Bwana kolichotokea almanusura huyu jamaa apoteze kazi, .
Ukweli ni kwamba jiwe alimuita akamtukana sana kwanini amekubaliana na ushauri wa hao maprofesa na kisha akamtupia ripoti yake .
Isingekuwa aibu ya jiwe akifahamu jinsi January alivyomfanyia figisufigisu ya kutengeneza matokeo yaliyomsaidia kumuweka madarakani pale mlimani city huyu january alikuwa afukuziwe mbali.
Sasa twende kwenye hoja, kwa nini serikali yetu inakataa repoti ya timu ya iliyoiunda na kuilipa ifanye kazi na wao wakafanya na wakashauri.
Mbona Serikali hiii hii haitoi vibali vya kuendeleza miradi ambayo environment impact assessment zimeshauri kwamb arhari za mradi ni hasi.
Kuna msemo wa kiingereza unaoheshimika sana unaosema "no research no right to speak"
Research imefanyika imeeleza mradi ni mbaya kwenye mazingira watu bila hata kufanya research nyingine wanakurupuka kuukataa ushauri wa wataalamu.
Tusiwalaumu sijui bunge la ujerumani , mimi binafsi siungi mkono kupangiwa mambo yetu na hao wajerunani.
Ukweli ni kwamba mradi huu ulikataliwa kwanza na timu yetu sisi wenyewe watanzania iliyohusisha maprofesa wataalamu ambao mwisho wa siku kama kawaida ya jiwe ukitoa mapendekezo tofauti na mtazamo wake unaitwa sio mzalendo au sijui umetumwa na mabepari.
Aina hii ya uongozi ya kukataa mapendekezo ya wataalamu ni mojawapo ya element za utawala wa kidikteta.
 
Mkuu;
Matajiri wakubwa wa Ujerumani na makampuni yao kwenye sekta ya gas na Mbolea wamefanya lobbying kwenye bunge la Ujerumani. Hata hivyo chama kimoja cha mlengo wa kulia ambacho pia kinaunda serikali kimekataa mapendekezo hayo.

Kumbuka kuna kampuni kutoka Ujerumani anataka kujenga kiwanda cha mbolea huko Mtwara.

Kiwanda hicho hakiwezi kujengwa kama kiwanda cha LNG hakijajengwa,

LNG wanategemea soko la umeme Tanzania.

Tanzania ikizalisha umeme wa maji na kujitoshereza ina maana LNG hawatakuwa na soko nchini na kwa maana hiyo hata kiwanda cha Mbolea hakitajengwa.

Za kuambiwa changanya na zako!

Ni muhimu/ ni lazima tuwe na umeme wa kutosha, kila mtanzania ni vyema akapambana kufanikisha hilo.
Hili swali ni by the way, Kikwete alikuwa na maana gani alipo sema gesi ya mtwa ikifika dar tatizo la ukosefu wa umeme litasahaulika?.
 
Ujerumani wanaifadhili Tanzania kifedha kwenye maswala ya uhifadhi na maendeleo ya viumbe hai kwenye mbuga na hifadhi kadhaa nchini.
Nadhani ni kupitia lile shirika lao la frankfut (WWF) kama sijakosea!

wanatoa kiasi kizuri tu cha fedha. sasa hiyo ndiyo sababu wanapinga uharibifu wa ecosystem yaani ukataji miti na ujenzi wa stieglers gorge.

inasemekana kwa pale selous game reserve, itakatwa miti sana. yaani ukubwa wake ni sawa mkoa na dar es salaam nzima eneo la kukatwa miti!

sasa hao wazee wamedai kusitisha misaada hiyo endapo serikali itagoma kufuata makubaliano waliyosaini kuhusu utunzaji wa wanyama hifadhi na mbuga zenyewe.
Ni hayo tu.
 
ndio maana nikashangaa hapo juu jamaa anavyojaribu kuhusisha LNG plant na Gas power plant.

In gas power plant either ni Gas engine power plant or Gas turbine power plant huwa kuna kuwa na pressure reducing plant kwa sababu tu ya kupunguza pressure huku temperature ikiwa constant ili gas iweze kufikia pressure itakayo kwenda kuendesha Engine au turbine. LNG plant kama ulivyoainisha ina faida nyingi kwenye jamii na maendeleo ya Taifa na kwa mtazamo wangu ilitakiwa iwe first priority na kuwe pia na muendelezo wa project ya 2000MW gas power plant maana tayari program ilishaanza na facility zilikuwepo kama tungehitaji hiyo Hydro ya maji basi tungeweza kuifanya hata in 2024... huku tayari Gridi ikiwa na 2000MW za Gas na infuture moja ingebaki standby na nyingine ingekuwa contunous au zingerun zote na MW nyingine tungewauzia Majirani..
Kuna kitu hamkijui au mnakijua hamtaki kukisema. Mkataba wa gas ya mtwara kati ya wachibaji(stateoil na wenzake) na serikali ni wa hovyo kiasi kwamba tukitegemea umeme wa Gas tunaiongezea mzigo Tanesco na serikali.Inawezekana kabisa kutokana na mkataba wa gas tulioingia ni bora kuzalisha umeme wa mafuta kuliko wa gas. Nakumbuka JPM alishawahi kutoa kauli kulithibitisha hili. Mkataba wa gas ya mtwara ni wa hovyo. Ni bora tuzalishe umeme kwa nguvu na juhudi zetu wenyewe kuliko kuzalisha umeme ambao hatuna control nao.
 
Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli.
Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment.
Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo serikali yetu iliwalipa fedha kufanya kazi hiyo.
Ukweli ni kwamba team hiyo ilifanya kazi hiyo na kuandika ripoti yake ambayo ilieleza kwamba madhara ya kwnye mazingira kama mradi huu ukitekelezwa yatakuwa makubwa sana hivyo wakashauri mradi huu usitekelezwe na wakashauri serikali ijikite kwenye kuzalisha umeme kwa kutumia gesi ambayo inapatikana mtwara kwani uzalishaji wa umeme kwa kutumia umeme hautakuwa na madhara kwenye mazingira kama mradi wa stiglers gorge.
Sasa bana ripoti hii iliwasilishwa kwanza wizara inayohusika na mazingira ya bwana January.
Waziri akakubaliana na ripoti naye akaifoadi ikulu.
Bwana kolichotokea almanusura huyu jamaa apoteze kazi, .
Ukweli ni kwamba jiwe alimuita akamtukana sana kwanini amekubaliana na ushauri wa hao maprofesa na kisha akamtupia ripoti yake .
Isingekuwa aibu ya jiwe akifahamu jinsi January alivyomfanyia figisufigisu ya kutengeneza matokeo yaliyomsaidia kumuweka madarakani pale mlimani city huyu january alikuwa afukuziwe mbali.
Sasa twende kwenye hoja, kwa nini serikali yetu inakataa repoti ya timu ya iliyoiunda na kuilipa ifanye kazi na wao wakafanya na wakashauri.
Mbona Serikali hiii hii haitoi vibali vya kuendeleza miradi ambayo environment impact assessment zimeshauri kwamb arhari za mradi ni hasi.
Kuna msemo wa kiingereza unaoheshimika sana unaosema "no research no right to speak"
Research imefanyika imeeleza mradi ni mbaya kwenye mazingira watu bila hata kufanya research nyingine wanakurupuka kuukataa ushauri wa wataalamu.
Tusiwalaumu sijui bunge la ujerumani , mimi binafsi siungi mkono kupangiwa mambo yetu na hao wajerunani.
Ukweli ni kwamba mradi huu ulikataliwa kwanza na timu yetu sisi wenyewe watanzania iliyohusisha maprofesa wataalamu ambao mwisho wa siku kama kawaida ya jiwe ukitoa mapendekezo tofauti na mtazamo wake unaitwa sio mzalendo au sijui umetumwa na mabepari.
Aina hii ya uongozi ya kukataa mapendekezo ya wataalamu ni mojawapo ya element za utawala wa kidikteta.
Ni rahisi sana kuwaonga maprofesa kuliko kupigania mswada upite bungeni. Kama hujanielewa hutakuja kuelewa kamwe ukweli wa hii issue.
 
Kuna kitu hamkijui au mnakijua hamtaki kukisema. Mkataba wa gas ya mtwara kati ya wachibaji(stateoil na wenzake) na serikali ni wa hovyo kiasi kwamba tukitegemea umeme wa Gas tunaiongezea mzigo Tanesco na serikali.Inawezekana kabisa kutokana na mkataba wa gas tulioingia ni bora kuzalisha umeme wa mafuta kuliko wa gas. Nakumbuka JPM alishawahi kutoa kauli kulithibitisha hili. Mkataba wa gas ya mtwara ni wa hovyo. Ni bora tuzalishe umeme kwa nguvu na juhudi zetu wenyewe kuliko kuzalisha umeme ambao hatuna control nao.

Jamaa yangu hapa ndipo tunapowashangaa na naomba kusema hili samahani, CCM imeleta madhara makubwa sana kwenye jamii yetu na inaendelea kuleta sisi wananchi tusipoamua kusimama na kutumia maarifa yetu na akili zetu na kuwa na mawazo huru.. Walioingia hiyo Mikataba ni Watanzania na bunge likapitisha hiyo mikataba kwa hati ya dharula wabunge waupinzani wakitoka nje na LISSU alipiga kelele sana juu ya hili SIKUMBUKI KAMA KUNA MBUNGE WA CCM ALITOKA NJE ZAIDI YA WOTE KUUNGA MKONO.. SASA JAMAA YANGU LEO TUTAWAAMINI VIPI KAMA MAMBO MENGI YENYE MASLAHI KWA TAIFA KAMA HILI LA GAS MLILETA USANII.. KUMBUKA THIS IS CCM HAKUNA JIPYA..

Hakuna mmiliki wa gas kule baharini tuache kudanganyana na kuleta siasa katika hili, Madimba power plant pale Msimbati tulijenga baada ya kukopa China na Gas pipeline to Dar tulijenga pia baada ya kukopa China anayelipa madeni yote haya ni Watanzania.. Mwamba ulishatobolewa na visima vipo vinasupply gas paleMadimba, visima vipo Tanzania kama tuliweza kuzipitia sheria za madini tukiwa na mtaalamu Kabudi tunashindwaje huku kwenye Gas.. Gas pia bado ipo nyingi tu ule ukanda wote mpaka Msumbiji na ilishagunduliwa yakutosha tunashindwaje kuichimba??? Tunashindwaje pia kuanzisha utafiti mpya sisi wenyewe??

LA MWISHO HIYO MIKATABA TUNAYOAMBIWA TUMEPIGWA KWANINI ISIWEKWE WAZI TUKAIJUA NA WAHUSIKA WAKAJULIKANA NA KAMA SISI WAZALENDO KWANINI TUSIANZISHE UCHUNGUZI WA WAZI NA KUTIA HATIANI WAHUSIKA WOTE NA WALE WOOTE WALIOSEMA NDIO NA WALIOUGOMEA ULE MUSWAADA PALE BUNGENI WAKAITWA MASHUJAA??
 
Kwa sababu kulikuwa hakuna ulazima wa kufanya uharibifu wa uoto wa asili katika eneo muhimu sana la nchi na wakati kuna mbadala.
 
Mkuu;
Matajiri wakubwa wa Ujerumani na makampuni yao kwenye sekta ya gas na Mbolea wamefanya lobbying kwenye bunge la Ujerumani. Hata hivyo chama kimoja cha mlengo wa kulia ambacho pia kinaunda serikali kimekataa mapendekezo hayo.

Kumbuka kuna kampuni kutoka Ujerumani anataka kujenga kiwanda cha mbolea huko Mtwara.

Kiwanda hicho hakiwezi kujengwa kama kiwanda cha LNG hakijajengwa,

LNG wanategemea soko la umeme Tanzania.

Tanzania ikizalisha umeme wa maji na kujitoshereza ina maana LNG hawatakuwa na soko nchini na kwa maana hiyo hata kiwanda cha Mbolea hakitajengwa.

Za kuambiwa changanya na zako!
Megawatt 2000 tu za umeme wa maji haziwezi kuzuia muendelezo wa matumizi ya gesi.
 
Back
Top Bottom