Swali rahisi kuhusu CCM yetu

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Naomba kuuliza maswali yafuatayo kuhusu hiki chama pendwa sana, japo. mimi kwangu ni chama mfu!

1. Ni upi umri hasa wa wapenzi na wafusi wa CCM?

2. Kwenye swali no1, unafikiri huo umri kwa siku za mbeleni unakipa chama uhai kiasi gani?

3. Kwa mujibu wa ripoti za TWAWEZA, hawa wenye elimu ndogo wana faida endelevu kwa manufaa ya CCM? Je, siku wakipata uelewa itakuwaje?

4.Kwa uhalisia wa sasa, wapenzi wa CCM wenye elimu na umri wa kati au vijana wako CCM kwa maslahi ya chama na taifa kweli au maslahi binafsi?
 
Watu wengi wenye mapenzi na CCM kindakindaki ni watu wenye hali mbaya sana ya kiuchumi kwa maana ya UMASKINI ULIOTOPEA na watu wakubwa sana kiumri kwa maana ya WAZEE..( hizi facts zipo pia kwenye research ya huko nyuma ya TWAWEZA)..

Na ndio maana CCM haiwezi kamwe kuondoa UMASKINI kwa watanzania kwani ndio MTAJI wa mashabiki wake ulipo.
 
Mtaji wa CCM ulikuwa wazee na watu wasio na elimu ila kwa sasa kwa kuwa vijana wanaongezeka na wana hamasa kubwa ya mabadiliko na CCM imeshatambua hilo mtaji wao kwa sasa umebadilika na wamehamia kwa polisi.Kwa sasa mtaji mkubwa wa CCM ni polisi na sio kundi jingine kama wazee na wasio na elimu!
 
Silent majority ni wanachama,wapenzi,washabiki,wakereketwa,wafurukutwa wa Chama Cha Mapinduzi..msema kweli ni mpenzi wa mungu.ndio maana kila chaguzi CCM inatesa.
 
Kwa nini watu wenye elimu duni na uchumi duni huipenda sana CCM? (Rejea utafiti wa Twaweza 2017)
 
Naomba kuuliza maswali yafuatayo kuhusu hiki chama pendwa sana, japo. mimi kwangu ni chama mfu!

1. Ni upi umri hasa wa wapenzi na wafusi wa CCM?

2. Kwenye swali no1, unafikiri huo umri kwa siku za mbeleni unakipa chama uhai kiasi gani?

3. Kwa mujibu wa ripoti za TWAWEZA, hawa wenye elimu ndogo wana faida endelevu kwa manufaa ya CCM? Je, siku wakipata uelewa itakuwaje?

4.Kwa uhalisia wa sasa, wapenzi wa CCM wenye elimu na umri wa kati au vijana wako CCM kwa maslahi ya chama na taifa kweli au maslahi binafsi?
1 miaka 12 mpaka 80
2 Mpaka ukamilifu wa dahari
3.Achana na Twaweza angalia UDSM.
 
1 miaka 12 mpaka 80
2 Mpaka ukamilifu wa dahari
3.Achana na Twaweza angalia UDSM.
4.hakuna mwanasiasa hata mmoja ambaye yupo kwa maslahi ya mtu mwingine,hata Yesu alikuwa na maslahi binafsi ya kupewa jina lipitalo majina yote,na mamlaka mbinguni na duniani,usifikiri alikuja tu duniani kushangaa bahari ya Galilaya.
 
Back
Top Bottom