Swali rahisi kuhusu CCM yetu.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,966
Naomba kuuliza maswali yafuatayo kuhusu hiki chama pendwa sana, japo. mimi kwangu ni chama mfu!

1. Ni upi umri hasa wa wapenzi na wafusi wa CCM?

2. Kwenye swali no1, unafikiri huo umri kwa siku za mbeleni unakipa chama uhai kiasi gani?

3. Kwa mujibu wa ripoti za TWAWEZA, hawa wenye elimu ndogo wana faida endelevu kwa manufaa ya CCM? Je, siku wakipata uelewa itakuwaje?

4.Kwa uhalisia wa sasa, wapenzi wa CCM wenye elimu na umri wa kati au vijana wako CCM kwa maslahi ya chama na taifa kweli au maslahi binafsi?
 
Mbona umeweka maswali na majibu? Umeweka hadi utafiti....sasa utafiti unafikiri ni mchezo mchezo.

..Chipukizi
..Wajinga
..Vijana wasaka tonge
..Wazee wenye maslagi yao binafsi.
 
Back
Top Bottom