Swali: Professor Juma Kapuya Kahudhuria Bunge Linaloendelea??

Bonson

Senior Member
Apr 20, 2013
183
147
Ndugu wadau,

Naomba kuuliza; hivi Prof. Kapuya kaonekana Bungeni katika kikao kinachoendelea? Pamekuwa na ukimya fulani kuhusu kashfa inayo muhusu.
Mwenye taarifa atujuze.
 
Walisema "KUBAKA" alitumia kifaa chake binafsi kwa hiyo tumuache apumue..
 
Back
Top Bottom