Ndugu wadau, Naomba kuuliza; hivi Prof. Kapuya kaonekana Bungeni katika kikao kinachoendelea? Pamekuwa na ukimya fulani kuhusu kashfa inayo muhusu. Mwenye taarifa atujuze.