Katika angaza angaza yangu nikapata hisia kuwa mh naibu speaker job ndugai aweza kuwa mbunge mfupi kuliko wote.
Is this a fact au ni macho yangu?
Mmmh! naona sasa JF imeanza kuishiwa, hili nalo ni jambo la kuleta kwenye ukumbi wa "great thinkers". Jambo hili lina tija kweli kujadiliwa hapa? anyways!. Hawa members wa October 2010 wanavimbwanga kweli.
jackbauer: Senior Member
Join Date: Thu Oct 2010
great thinker anaanza kwa kuchunguza,then anatafuta ukweli.hivi kuna ubaya kujua profile ya mbunge?niliwahi kusikia maumbile ya mtu yaweza kuelezea tabia zake,sasa sidhani kama suala hili halina tija.let great thinkers think then utaona TIJA katika suala hili.
Kaka wewe wa October 2010 huna tija hapo acha kuleta zako unawapotezea watu muda ndo nyie akina makamba, watu wanadiscuss issues wewe unaleta issues zisizo na tija. Uchaguzi umeisha mliojiunga kwa sababu ya uchaguzi mnaweza mkatimua tu, tukutane 2015 october