William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Wiki nne zilizopita Wa-Tanzania tuliamshwa na kishindo kikubwa katika kurasa za mbele za Gazeti moja maarufu sana hapa nchini, likilia kwa sauti kubwa sana kwamba Mbunge mmoja wa chama tawala amefanya faulo inayohusiana na msichana mdogo na hata ilipofahamika kwamba ukweli wa habari hiyo una utata bado gazeti likaendelea kulilia kwamba kiongozi yule na chama kizima anachotoka hawana maadili kwa kutoheshimu familia, taifa hili tukajikuta kwenye mjadala mzito sana na hasa kwenye mitandao ya kijamii as je hizi ishus za viongozi kutokuwa waaminifu kwa familia zao ni ishu ya taifa na maadili ya uongozi au ni ya binafsi na haihusu kabisa taifa? Sikuona kiongozi yoyote wa Upinzani akijitokeza kusema kuwa ni mambo ya binafsi hayahusu taifa.
- Juzi kwa mara nyingine tena Taifa hili tumeamshwa na maneno kama haya tena this time yakiwa yanamuhusu Kiongozi mkubwa wa Upinzani nchini na hata bungeni, kwa mara nyingine tena taifa tukaingia kwenye mjdala mzito kama hayo ni mambo ya taifa au ya binafsi, kwa mshangao mkubwa lile gazeti maarufu lililokuwa linalia sana kule nyuma kwa Kuhusu mbunge wa chama tawala na haya mambo, halikugusa kabisa habari hii kulikoni? Na kwa mara ya kwanza wamejitokeza wabunge wengi wa kutetea kwamba ni hoja za binafsi hazihusu Taifa!!
- Ishus muhimu kwa taifa huwa kuna tunazifikiria na kuzisema na kuna ambazo hatuzifikiri na hata kama tunazijua huwa hatutaki kuzisema lakini Demokrasia huwa ina njia zake za kuzileta ishus hizo ili zijadiliwe na kuwepo na msimamo wa kimsingi unaokubalika na taifa au jamii kwa ujumla, hili la matatizo ya viongozi kuwa sio waaminifu kwa familia zao Demokrasia sasa ina-demand tulijadili hili taifa, bila kuogopana wala kuangaliana usoni........!!
Inaendelea kwenye gazeti la Jambo Leo Jumapili. "UCHAMBUZI WA SIASA"
Le Mutuz