SWALI: Nawezaje ku-format nokia 6030?

Mkuu chief-mkwawa,
Unabonyeza kwa pamoja? :Au:
Ni hivi *3 kisha unabonyeza CALL button? (Hii imekataa inaleta error hii "Result unknown")
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chief-mkwawa,
Unabonyeza kwa pamoja? :Au:
Ni hivi *3 kisha unabonyeza CALL button? (Hii imekataa inaleta error hii "Result unknown")

nlisahau unabonyeza ikiwa imezimwa then huku unashkilia hizo button 3 unawasha simu
 
Last edited by a moderator:
Wakuu habari zenu? Hivi hizi simu za zamani za NOKIA 6030 unaformat vipi? Mana ukieka games/applications, hasa games ambazo huwa zina-save information kama vile "completed levels/missions" ukizifuta huacha hizo "information za completed levels".
Mfano: game ina "123 KB" inaacha leftovers za "188 KB". So, mwenye uelewa jinsi ya kuzifuta hizo "leftovers" au ku-format "the entire phone" napenda anieleweshe!!
thank_you.gif
NATANGULIZA SHUKRANI.
nyota plus namba tatu plus button ya kupigia simu
hiyo njia ya kubonyeza *, call key na number 3 inatumika kwenye symbian s60 tu hapo haitakubali..hiyo nokia 6030 ni symbian s40 kwahivyo tumia *#7370# kwa hard reset au *#7780# kwa soft reset!! hard reset inafuta internal drive ya simu,,,
 
hiyo njia ya kubonyeza *, call key na number 3 inatumika kwenye symbian s60 tu hapo haitakubali..hiyo nokia 6030 ni symbian s40 kwahivyo tumia *#7370# kwa hard reset au *#7780# kwa soft reset!! hard reset inafuta internal drive ya simu,,,

Mh... Ww ndo unachapiaaaaa hyo yako ni ya symbian ...... Kna chief ndo wapo sahh
 
Hiyo njia haitakubali kwenye hiyo simu, soma hapa ( My-Symbian.com - Symbian OS Series 60 1st & 2nd Edition Software and News ) nimeitumia sana kwenye Nokia mbali mbali, solution ya hapo ni *#7370# au *#7780#, tungoje mwenye thread alete majibu,,

*#7370# haireset simu completely inafuta mafile tu na system files haziwi restored. In case pia kama system files zimekua corrupted haitokusaidia

then pili na la muhimu zaidi kama wewe ushawahi kweli kuformat simu lazima utakua unajua *#7370# inahitaji security code mwanzo kabla haijaformat so kama umesahau u will never succeed wakati 3 button format style inahitaji default code yani 12345

then link yako haiprove unachoongea maana inasema hiyo way inatumika kwenye s60v1 na s60v2 but haijasema kuanhaitumiki kwengine as i said earlier hio ni njia ya non touch nokia phone zote
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom