Swali: Mwanaume Akijikuna Sehemu za Siri ina maana gani?

Kujikuna kwenye pachi pachi kwa mwanaume mara nyingi ni fangasi au aina ya wembe wa kunyolea vuzi anaoutumia.na ule muwasho mara nyingi unakuaga na raha yake wakati kujikuna kiasi cha kijisahau hata kama upo mbele za watu madhee.kitu ingine ni kuvaa boxa chafu au ambayo aijakauka vizuri
 
ndio ukavalie kwa beibe uliemtoa out na kujikuna kuna ni mbayaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom