Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Mwanangu mtakatifu Ivuga kwa Bongo wizi ni nje nje hapahitajiki ujuzi wa ndani zaidi. Kwanza wengi wasiofaidika na huo wizi wanawajua wezi wote na wako tayari kukutajia. Hivyo ni suala la uzalendo zaidi. Hukusikia eti kesi ya Dowans imekula pesa nyingi kuliko inayodaiwa. Hiki ndicho marehemu Remmy Ongala aliita wizi ndani ya wizi.Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Mwanangu mtakatifu Ivuga kwa Bongo wizi ni nje nje hapahitajiki ujuzi wa ndani zaidi. Kwanza wengi wasiofaidika na huo wizi wanawajua wezi wote na wako tayari kukutajia. Hivyo ni suala la uzalendo zaidi. Hukusikia eti kesi ya Dowans imekula pesa nyingi kuliko inayodaiwa. Hiki ndicho marehemu Remmy Ongala aliita wizi ndani ya wizi.
Saint Ivuga siku hizi profession sio mali kitu, siku ikulu ikiwa mahali patakatifu hutauliza hili swali.
Imeandikwa "kichwa kikioza, huoza mwili mzima"....
Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Huitaji kusomea ili kuweza kumkamata mwizi,kama kawakamata mwache awakamate wakajibu mashtaka Polisi,haki ya kukamata si ya Takukuru pekee hata mwananchi wa kawaida unaweza kumkamata mtu ambaye katenda kosa na kumpeleka Polisi.Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Hapo kwenye maandishi mekundu unamaanisha Dokta Eddy Hosea ama mwingine?Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Huyu mwakyembe hajasomea u Takururu.. Ila kaenda bandarini na kukamata watu.. Ina maana wenye professional zao wako wapi?
Nakuunga mkono Saint Ivuga !
Ni kweli ubadhirifu umefanyika, lakini suala la kujua nani anahusika linahitaji utaalamu wa fani husika, na sio kukurupuka.
Ni mbaya sana inapotokea asiyehusika anaingia kwenye mkumbo kutokana na maamuzi ya kisiasa.
Mwakyembe amekurupuka !!!!!