Swali: Muhongo kuielekeza EWURA ni sahihi wakati haiko chini ya wizara yake?

Mkuu thesym naomba unielewe, hapa natafuta mamlaka aliyonayo Muhongo kwa ewura. Siungi mkono upandishaji gharama za umeme. Je, ikiwa ewura watakomaa, Muhongo analo LA kufanya? Kumbuka tanesco mpaka sasa haijapata maelekezo yoyote kutoka kwa Muhongo
Wambie wakomae wamgomee mhongo asiwaingilie, Mh Raisi atawasaidia.
 
Sitaki porojo, nataka kujua mambo mawili;
1. Ewura iko chini ya Muhongo au hapana?
2. Muhongo anayo mamlaka ya kufuta maazimio ya ewura au hapana?
Tuanzio hapo kwanza.
somqa sheria zinazohusika na uamue wewe mwenyewe, ikiwa ana madaraka hayo. Je Mkurugenzi wa Tanesco anateuliwa na nani na nani anatakiwa kumwajibisha - mbona hili haliulizwi?
 
Back
Top Bottom