Swali muhimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali muhimu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Msanii, Mar 14, 2008.

 1. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #1
  Mar 14, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Wakubwa ninauliza kama kuna mwanabodi anayefahamu uwepo wa kampuni ya United Online huko US.
  Pamoja na shughuli zao pia wanatoa huduma za hosting websites za free na kulipia.
  Kuna rafiki yangu mmoja anataka kununua space kwa domain yake na akaniulizia kama akilipa kwa credit card yake haitamletea utata. Ananunua kupitia www.freeservers.com halafu jamaa wako atleast lower price and fair

  (FREESERVERS IS A UNITED ONLINE COMPANY
  Copyright © 2008 United Online Web Services, Inc. All rights reserved).

  natumaini kupata msaada kutoka kwenu
   
 2. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #2
  Mar 15, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  HI

  NI KWELI KUNA KAMPUNI INAITWA HIVYO MIMI MWENYEWE ENZI HIZO WAKATI NAJIINGIZA KATIKA MAMBO YA ICT NILITUMIA FREESERVERS KATIKA KUFANYA TAFITI NA MAMBO YANGU MENGINE YA KISHULE

  LAKINI HIYO HAIKO SECURE SANA KWAHIYO SIIAMINI SIJUI KWA SASA HIVI

  KUNA WATANZANIA www.extremewebtechnologies.co.tz au www.webspice.co.tz USIPENDE VITU VYA BURE ISEE MSANII

  PIA UNAWEZA KUTEMBELEA

  http://www.google.com/search?hl=en&q=Domain+Registration

  UTAWEZA KUPATA OPTION NYINGI ZAIDI ZA DOMAIN AND KUAMUA SASA

  AHSANTE
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2008
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Mkuu SHY
  Nashukuru sana kwa kunisaidia na kunihakikishia kuwa unawafahamu. Ni kuwa nimeulizwa how reliable are they na pia pamoja na kuwa wanazo freespaces but wanazo wanazotoza hela, na fees zao ni nzuri kulinganisha na za wabongo.
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
Loading...