Swali Muflisi: Mji au kijiji anachotoka M/Rais Bi. Samia S. Hassan ni wapi?

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Makamu wa Raisi wa JMT Ni mtu wa pili kwa cheo na madaraka katika serikali ya Muungano. She is "a heart beat away from the presidency" yaani yuko "pigo moja tu la moyo nyuma ya Urais". Je, anakoto kunanufaika vipi su anakuletea vipi naendekea? Wabunge, Mawaziri na hata Rais wanaonekana kumpigia chapuo "kwao". Vipi makamu wa Rais?? (Emoji ya mtu anakimbia...kama huioni mtu kashatoka mtutu).
 
We mzee Sikh hizi unaaandika nyuzi za kijinga namna hii baada ya kujitoa akili,
 
Makamu wa Raisi wa JMT Ni mtu wa pili kwa cheo na madaraka katika serikali ya Muungano. She is "a heart beat away from the presidency" yaani yuko "pigo moja tu la moyo nyuma ya Urais". Je, anakoto kunanufaika vipi su anakuletea vipi naendekea? Wabunge, Mawaziri na hata Rais wanaonekana kumpigia chapuo "kwao". Vipi makamu wa Rais?? (Emoji ya mtu anakimbia...kama huioni mtu kashatoka mtutu).

Kwao ni kijiji cha Kizimkazi Unguja lkn nafiki amehusu na makunduchi pia kwa mmoja wa wazee wake
 
Makamu wa Raisi wa JMT Ni mtu wa pili kwa cheo na madaraka katika serikali ya Muungano. She is "a heart beat away from the presidency" yaani yuko "pigo moja tu la moyo nyuma ya Urais". Je, anakoto kunanufaika vipi su anakuletea vipi naendekea? Wabunge, Mawaziri na hata Rais wanaonekana kumpigia chapuo "kwao". Vipi makamu wa Rais?? (Emoji ya mtu anakimbia...kama huioni mtu kashatoka mtutu).
hizi ni typo au deliberate fumbo ?
 
Hebu nitafsirie ulichoandika
 
Wakati Wa bunge la katiba alikuwaje kweli?
Hebu tukumbushane....
Tanzania bila unafiki haiwezekani.....
Huyu mama alitukanwa matusi yoooote wakati wa bunge la katiba. Leo ameonekana kuwa ana ''karma'' ya uongozi. Nakuambia Tanzania wananchi wengi bado tu mbumbu sana kujua kiongozi bara ni mtu mwenye sifa gani. Au labda niseme wengi wetu tukipewa madaraka au kuachiwa kufisadi ndiyo tunasema huyu kiongozi ana ''karma''.
 
Huyo mama aliingizwa mkenge na mumiani wa ccm akajikuta ni mmoja kati ya watu walionajisi mchakato wa katiba mpya hadi hivi sasa anajuta. Ila kiukweli huyo mama sio muumini wa siasa za kikatili.
Muumini Wa Siasa Za Ustaarabu Hofu Na Kauli Njema
Genge La Wahuni Wachache Lilimtia Kwenye Lawama Kuhusu Katiba
 
Huyu mama alitukanwa matusi yoooote wakati wa bunge la katiba. Leo ameonekana kuwa ana ''karma'' ya uongozi. Nakuambia Tanzania wananchi wengi bado tu mbumbu sana kujua kiongozi bara ni mtu mwenye sifa gani. Au labda niseme wengi wetu tukipewa madaraka au kuachiwa kufisadi ndiyo tunasema huyu kiongozi ana ''karma''.
Hii nchi wananchi ni wanafiki kuliko hali ya kawaida, kuna watu maslahi yao ya kimadaraka yakiguswa wanataka nchi nzima tulalamike pamoja nao, na yasipoguswa tusifu pamoja nao, sijui wanahisi kila mmoja ubongo wake uko off kwa ajili ya bongo zao?
 
Kuna siku utaikana kauli yako..,....
Tanzania bila unafiki haiwezekani.
Nina imani huyu mama once akigombea urais na akashinda kwa tiketi ya chama chake hakuna rangi ya matusi ataacha kuiona na utakuwa miongoni mwa watukanaji, kimsingi makamu Wa rais katika nchi hii hakuna mahali mzigo Wa mamlaka unamuelemea kiasi cha kupokea tuhuma kama ilivyo kwa nafasi zingine za uongozi.....uongozi

Back
Top Bottom