Baby Nimah
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 701
- 747
Habari zenu wapendwa natumai muwazima wa afya kabisaa, mdogo wenu me sijambo.
Kama kichwa cha THREAD kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba kujuzwa kuhusu Wasafi FM maana mimi bado mgen na hii radio ndio kwanzaaa imekuja huku kwetu. THE STORY BOOK inarukaga hewan kuanzia muda gani? Na lini?
🙏Natanguliza shukran.
Samahanini kwa usumbufu💞
Niliwamiss sanaaa