Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Heshima kwenu wadau?
Nielewesheni kidogo. Mishahara ya wakuu wa mikoa inatoka hazina? ambako kodi za wananchi na mapato ya nchi huifadhiwa au wanalipwa na chama tawala? Kama wanalipwa na chama tawala....hakuna haja ya kuhoji uhalali wa vyeti vyao.....maana ni sawa tu na katibu wa CCM wa wilaya, au wa mwenyekiti wa Chadema wilaya....hiyo haina shida. Lakini kama fedha zao zinatokana na kodi zetu, basi tutakuwa tuna tatizo kubwa tu ambalo vizazi vijavyo vitatushangaa sana. Nielewesheni tu nijue. Fedha ya umma inalipaje mtumishi anayeitumikia umma ila sio mtumishi wa umma na anaihudumia umma?