SWALI: Mikutano ya CHADEMA mkoa wa Arusha inafanyikia wapi siku hizi??

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Dec 15, 2013
3,099
630
Nimerudi tena Arusha nikitokea Bungeni Dodoma. Swali langu ni wapi inapofanyikia mikutano/maandamano ya chadema mkoani Arusha??

Mandla.
 
Nimefika viwanja vya NMC nikakuta kuna soko la mitumba. Nikaenda kule soweto nimekuta kuna uzio mkubwa na nyumba zimevunjwa.

Watu wa cdm wapi mnakutana wakuu??
 
Kwani ndovu anapokuja huko next week unaenda wapi kumsikiliza?
 
Nimefika viwanja vya NMC nikakuta kuna soko la mitumba. Nikaenda kule soweto nimekuta kuna uzio mkubwa na nyumba zimevunjwa.

Watu wa cdm wapi mnakutana wakuu??
Jifunze kuandika kwanza kabla ya kisebengo
 
Mkuu huyu Mandljr anapima uji kwa ulimi mnafki mkubwa.

Kinana na Nape wamempa kazi ya kuandaa Gongo toka matejoo.
Kwani slaa hatengenezi tena gongo mkuu,nakumbuka alitangaza kuwa ataruhusu gongo inakuwaje tena ihamie kwa nape.
 
ImageUploadedByJamiiForums1400735675.675045.jpg

mikutano yote inafanyi hapa
 
Nimerudi tena Arusha nikitokea Bungeni Dodoma. Swali langu ni wapi inapofanyikia mikutano/maandamano ya chadema mkoani Arusha??

Mandla.
kwa uelewa waliokuwanao wanachadema Arusha hatuitaji mikutano tunauelewa wa kutosha kuhusu chadema tunasubiri tu,mikutano ya kampeni ya 2015
 
Hapa Arusha lema anakimbizwa mbaya Sana na Ccm mwanzo alikuwa nafanyia viwanja vya shule ya ngarenaro baada ya kushindwa kujaza amekuja kijiwe cha kahawa kilombero sasa
 
Hapa Arusha lema anakimbizwa mbaya Sana na Ccm mwanzo alikuwa nafanyia viwanja vya shule ya ngarenaro baada ya kushindwa kujaza amekuja kijiwe cha kahawa kilombero sasa
Kweli kabisa Mkuu. Sasa tunasubiri uchaguzi tu. Ili tuondoe hii balaa mjini kwetu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom