Swali makini kwa Great Thinkers kutoka kwa handsome Bujibuji

The time you get a lot of answers remember Wakoloni wazungu to Christian and wakoloni waharabu to Islam
33144239_10156490632567716_7540633189203574784_n.jpg
 
Jina la mungu yaani GOD halina wingi kwa maana ya Gods!....(miungu)….so ukiona gods ujue siyo mungu!....Mungu ni mmoja tu!
 
Wewe ndiye ungetthibitishia kwamba MUNGU hayupo tukuamini
Kisichokuwapo, hakithibitishiki kwamba hakipo, nje ya dhana, kwa sababu hakipo, ili kithibitishike inabidi kiwepo, na kikiwepo kitakuwa kipo, si hakipo, kwa hivyo hakithibitishiki hakipo nje ya dhana.

Kwa msingi huu, polisi wakisema kwamba nyumbani kwako kuna madawa ya kulevya, ni wajibu wao wanaosema zkuna madawa a, ku sachi nyumba mpaka wapate hayo madawa.

Kamwe hawakupi kazi ya kuthibitisha wewe unayejitetea kwamba nyumba yako haina madawa eti uthibitishe nyumba yakohaina madawa, kwa sababu hata ukifagia vipi kuonesha nyumba yako haina madawa, kuna uwezekano unaweza kuwa umeyaficha pasipofikika.

Kwa hiyo, mzigo wa kuthibitisha ni wa yule anayesema kitu kipo,si anayekanusha. Anayekanusha anaulizatu kuthibitishiwa.

Nimeongelea "nje ya dhana".

Ukija kwenye dhana, Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote anaweza kuthibitishwa kwamba hayupo kwa "proof by contradiction".

Mungu huyo angekuwepo, asingetaka mabaya yaweze kutokea duniani kwa viumbe wake.

Mabaya yanatokea dunianikwa viumbe wake.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom