Swali linanitatiza

Tyrex

JF-Expert Member
Oct 15, 2012
1,474
2,000
Kama ndio umewaza hicho lazima utatizike.

Ndoto za abunuasi hizo. Tafuta pesa ununue lako aisee wacha kupenda vya dezo ambavyo ukivifikiria sana unaweza usipige hatua mbele.
Ndugu yangu mbna povu sana, threat haikuhusu Wew Bali inalengo la kufurahisha tu ttzo Wa Tanzania mko neg sana
 

Shadeeya

JF-Expert Member
Mar 12, 2014
37,054
2,000
Ndugu yangu mbna povu sana, threat haikuhusu Wew Bali inalengo la kufurahisha tu ttzo Wa Tanzania mko neg sana
Ungeongeza vitu ambavyo vingefanya uonekane unatania au pia ingekuwa bora kama ungeiandika kwenye jukwaa la jokes.

Kwa ulivyoandika ni ngumu kuanza kuwaza kama umetania
 

Hunyu

JF-Expert Member
Aug 19, 2014
4,789
2,000
Nakopesha mtanzania yeyte mwenye uhakika wa kupata Noah baada ya mgao wa Barick (Acacia)

Mkopo kuanzia 500,000 hadi 20,000,000 M

Dhamana kadi ya mpiga kura.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom