Swali lenye kuzaa maswali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali lenye kuzaa maswali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Jul 1, 2012.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,202
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  Hivi ndio kusema Tanzania kama taifa limeamua kushikamana na Iran katika azma yake ya kulifuta taifa la Israel juu ya uso wa nchi? Hivi hii uranium Mungu wa Israel aliyotukirimia ni kwa ajili ya maangamizi ya taifa lake Israel?. Kwa pamoja bila jazba wala ushabiki tutoe majibu.
  .
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Wacha tu huyu ****** aiondoe madarakani CCM kwa mikono yake mwenyewe.
   
 3. grafani11

  grafani11 JF-Expert Member

  #3
  Jul 2, 2012
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 15,534
  Likes Received: 342
  Trophy Points: 180
  Searching.........Please wait..58%
   
Loading...