Swali langu limemliza x-gal wangu..

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,044
1,999
Wadau,kwanza polen sana na mzigo wa deni la dowans!!ni hv,nlikua na gal wangu,baadae 2kaachana na yeye ndo alyekua wa kwanza kuniambia 2achane,tukakatiana mawasliano kwa muda wa miezi 6,juzi nikajipendeza kumuita rum kwangu,alvokuja 2kapga story za kawaida 2,baadae nkamuulza,vp shemu wangu hajambo?cha kushangaza mmanzi akaanza kutoa machozi,thn akaniaga akaondoka bila kunijbu chochote,akakaa ka 30mts akan2mia txt aknambia,swali langu ni gumu sana na halijbiki.hiv wadau,huyu m2 atakua kakumbwa na nin hasa?
 
Nadhani hakufurahia wewe kumwita mpenzi wake shemeji. Alidhani mnaweza kurudishana maybe. Muulize ajieleze mwenyewe
 
Inawezekana ameumizwa uko au ndo njia ya kukurudia hivyo anajarib kuonesha kama amejuta kukukosa! Kwnn ulmuulza kuhus shem? Au unataka kumrudia?
 
... akaniaga akaondoka bila kunijbu chochote,akakaa ka 30mts akan2mia txt aknambia,swali langu ni gumu sana na halijbiki.hiv wadau,huyu m2 atakua kakumbwa na nin hasa?

Majibu sahihi na ya haraka utayapata kwake mkuu (kama bado hujayapata....). Hapa watu watakuwa wanaguess tu.
 
Anakuibia huyo mkuu...
ka act imempain ili mrudiane...tafakari na usichukue hatua.
 
Sasaa na ww boy friend wa x wako atakuwaje shem wako, swali lako lilikaa kiwivuwivu hivi
 
inawezekana alikoenda au kukimbilia kakuta si kama alikotoka
 
Wajinga ndo waliwao! Sasa hapo unaona anakupenda mwenyewe?alipokuacha alienda kwa kidume kikamega weeeeeee kimechoka kikamtosa! Sasa naona anataka kurudi kwa zoba lake la mwanzo analia ili umuonee huruma tu
 
Wajinga ndo waliwao! Sasa hapo unaona anakupenda mwenyewe?alipokuacha alienda kwa kidume kikamega weeeeeee kimechoka kikamtosa! Sasa naona anataka kurudi kwa zoba lake la mwanzo analia ili umuonee huruma tu
anajua nin wasichana,tena wengi 2,so ikitokea akantegea na mim nimege,kwa kwel ntatimiza wajibu.
 
Sasaa na ww boy friend wa x wako atakuwaje shem wako, swali lako lilikaa kiwivuwivu hivi

ilikua ni katika kupga story 2 ndo nkajkuta nimemuulza hvo mkuu,cnaga wivu kwa watoto wa kike kabisa.
 
Mmh haya bwana wewe na yeye ndo wasemaji wa mwisho, hv mchuniane kwa 6 months thn umuite geto aje kirahs tu mkuu, may be she want somethng frm you....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom