Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 507
- 469
Hbr zenu humu ndani.
Naam swali langu hivi tunaweza kutambua gari ya V6 bila kuangalia huko kwenye engine
Mfano ukiwa online unaagiza harrier unayaona mengine ni 2360Cc, 3000Cc, 3600Cc,
Mimi mwenzenu nimekuwa nikiangalia kigezo cha Cc nikiona gari ambayo haijavuka 2360Cc huwa nina include ni 4 inliner na ile inayovuka hapo huwa nina include as V6..
Njia nyingine huwa naangalia engine Code mathalani 2AZ je nayo ni njia sahihi?.
Je kuna 4nliner yenye 3000Cc kweli.
Au kuna V6 yenye 2500Cc.
Njia nyingine
Note: nadhani njia hii tukipeana ushauri mzuri ni nzuri kwa wale wanaoagiza magari online, siyo huu utapeli wa hapa bongo unakuta wanabandika mpk stika za 4inliner but ukienda mkenge unapigwa la V6.
Jambo lenye mashaka mashaka ni lazima tulijadili. Njooni.