Swali langu kwenye V6 engines

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Messages
504
Points
500

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2012
504 500
Hbr zenu humu ndani.

Naam swali langu hivi tunaweza kutambua gari ya V6 bila kuangalia huko kwenye engine

Mfano ukiwa online unaagiza harrier unayaona mengine ni 2360Cc, 3000Cc, 3600Cc,

Mimi mwenzenu nimekuwa nikiangalia kigezo cha Cc nikiona gari ambayo haijavuka 2360Cc huwa nina include ni 4 inliner na ile inayovuka hapo huwa nina include as V6..

Njia nyingine huwa naangalia engine Code mathalani 2AZ je nayo ni njia sahihi?.

Je kuna 4nliner yenye 3000Cc kweli.
Au kuna V6 yenye 2500Cc.

Njia nyingine

Note: nadhani njia hii tukipeana ushauri mzuri ni nzuri kwa wale wanaoagiza magari online, siyo huu utapeli wa hapa bongo unakuta wanabandika mpk stika za 4inliner but ukienda mkenge unapigwa la V6.

Jambo lenye mashaka mashaka ni lazima tulijadili. Njooni.
 
LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,074
Points
2,000

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,074 2,000
njia ya kuangalia aina ya engine nazani ni sahihi zaidi na ya uhakika lakini uwe unafahamu detailz za hiyo engine.mfano 1JZ FSE ,1AZ FSE, n.k
 
Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
20,184
Points
2,000

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
20,184 2,000
Fata engine codes, mfano mi nimezikamata kichwani engines za toyota nyingi tu ambazo ni common mpaka za V8 nazijua. Kwa gari zilizotamba 1990-Present za Toyota engine zake nyingi nazifahamu ukintajia engine codes najua hio ni 6 au 4 cylinder na ya cc ngapi! Ambayo sijaifatilia ni ile v10 ya kwenye lexus LFA na gari za makampuni mengine kama nissan najua ya TD42 tu.
 
Black BackUp

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2019
Messages
330
Points
250

Black BackUp

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2019
330 250
Wewe umejaribu kueleza engine kulingana na shape manake inliner/ Vshape/ W shape n.k. Hizi Engine zote zipo za four na six cylinder. Pia tunadescribe engine kulingana na aina ya fuel used Petrol/diesel lakin pia namna combustion system internal/external lakini izo zoote hua tunaangali na CC/Fuel consumption
Zipo aina nyingi za Engine tutajuzana watu wakiendelea kuiza/kutaka kufaham
 
Alpha13

Senior Member
Joined
Oct 26, 2015
Messages
111
Points
225

Alpha13

Senior Member
Joined Oct 26, 2015
111 225
Ni makosa kutumia cc kama kigezo cha kujua idadi ya cylinder. Ni vyema kufahamu "engine models" kwa toyota wana "GR, UR, AZ nk" katika kila kundi design na technology zinafanana. Displacement (yaani cc) pamoja na compression ratios zinakua tofauti throughout.

Kuna inline 5 za ford na V10 Lexus LFA, mwisho kuna V12 GZ (5,000 cc) engine zipo kwenye Toyota Century. Pia nimeona KR engine (1000cc au 1300cc) za toyota ambazo ni staight 3 pistons (Passo na mini cars zinginezo)
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,010
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,010 2,000
Wewe umejaribu kueleza engine kulingana na shape manake inliner/ Vshape/ W shape n.k. Hizi Engine zote zipo za four na six cylinder. Pia tunadescribe engine kulingana na aina ya fuel used Petrol/diesel lakin pia namna combustion system internal/external lakini izo zoote hua tunaangali na CC/Fuel consumption
Zipo aina nyingi za Engine tutajuzana watu wakiendelea kuiza/kutaka kufaham
Point ya msingi saana. Sio kila engine ina mfumo wa V. Mara nyingi utasikia jamaa wakisema engine ya 1G ni V6. Kuna configulation kibao za piston engines. Na hii ni kulingana na jinsi hizo pistons zilivyopangiliwa kwenye engine. So kuna staight au inline layout, V layout, Boxer/flat layout, W layout etc.

Inline inatumika saana kwenye 4 cylinders engines, inline 6 zipo japo kwa sasa ni chache. Sababu zinachukuwa nafasi kubwa kwenye engine na kufanga bonet linakuwa refuu. Ila huwa zimetulia sana hazina vibration saana na zinamlio mzuri.

V6 ni maarufu saana siku hizi. Kina Crown, Mark X na wengine wengi wanazitumia. Hizi zinachukua space kidogo kwenye engine maana ni kama size ya engine ya 3 cylinders tu.

V6 na V10 zimetulia zaidi.

Boxer sifa yake ni kuwa na low centre of gravity. Inafanya gari linakiwa stable saana barabarani na inaponguza rolling hasa ukiwa kwenye barabara za kona kona. Subarus ndio wanatumia hizi engine saana.

Kurudi kwenye mada, ni vigumu saana kujua ni aina gani ya engine kama hujapewa details zake. Unless uwe na uwezo mkubwa wa kutambua mlio wa engine, vibrations, nguvu yake au uione kwa macho.
 
mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
18,630
Points
2,000

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
18,630 2,000

Safi sana mkuu.

Out of topic:Mkuu sikuwahi kufuatilia aisee, kumbe zile gari zinazoshiriki formula 1 sifa zake kuu ni ziwe na: CC 2400(elfu mbili mia nne tu),V8,Natural aspired,RPM 18,000.

Hizo cc chache afu V8 na hizo RPM zilivyo duuh nimebaki nashangaa kiaina.
 
umeeleza vizur sana. naamin swala hili (engine model) limekua somo tosha kwa wasio na ufaham zaid
 
RugambwaYT

Verified Member
Joined
Jan 11, 2014
Messages
1,010
Points
2,000

RugambwaYT

Verified Member
Joined Jan 11, 2014
1,010 2,000
Safi sana mkuu.

Out of topic:Mkuu sikuwahi kufuatilia aisee, kumbe zile gari zinazoshiriki formula 1 sifa zake kuu ni ziwe na: CC 2400(elfu mbili mia nne tu),V8,Natural aspired,RPM 18,000.

Hizo cc chache afu V8 na hizo RPM zilivyo duuh nimebaki nashangaa kiaina.
Yes hiyo wameitumia kipindi kilichopita. Wao wanaita era. Ndio zile zilikuwa na mlio wa kipekee mpaka Lexus wakaamua kuuiga kwenye LFA. Kwa kweli ule mlio ulikuwa unavutia saana.

Sasa hivi, kuanzia 2014, wako kwenye turbo hybrid Era. Wanatumia 1.6l V6 ambayo ni turbocharged na kuna hybrid system. Kwa kweli mlio wake hauvutii tena. Na baadhi watu wanailalamikia ina complications kibao. Kama ulifuatilia juzi juzi kwenye Russian Grand Prix, ilimharibikia Vettel ghafla ikabidi gari lipumzishwe.
 
Forum statistics

Threads 1,357,481
Members 519,056
Posts 33,148,593
Top