Swali langu kwenu waendesha private car kwenda Mikoani

Wakati napand Dar to Moshi trip kwa private car nilitaka ingia chaka round about ya Korogwe pale...Nikauliza Mmasai mmoja akanipa dira! Ilikuwa night kali sana.
 
Unakuta mtu anaishi Arusha au anaishi Dodoma then anataka atoke alipo aende mkoa tofauti

Labda tuseme unataka kwenda kigoma,swali langu ni:

Unajuaje njia ya kupita hadi kufika kigoma? au ndio kufata lami moja kwa moja?

Mi najuaga mnafata mabasi kwa nyuma sasa naona itakua haina maana kama utafata bus kwa nyuma,bora upande bus sasa.

Nauliza hivi kwasababu Baba angu ni msafiri sana wa huko mikoani na unakuta kuna mkoa anaenda hajawahi hata kufika.

Nilishaenda nae kipind flani nikahisi labda huko barabarani kuna vibao,ila ajabu ni kwamba sijawahi ona kibao tofauti na vya SPEED LIMIT

ukimuuuliza amejuaje njia,anakujibu kisiasa "ntakwambia ukiwa mkubwa"

Sasa mi naomba kujua nyie waenda mikoani hizo njia mnazijuaje hadi mnafika kabisa mkoa Husika

Maana kuna sehemu unakuta round about halafu njia ziko kama 4 hivi na hazijaandikwa ila mtu hakosei anaingia right way,mnajuaje?

Na ndio mikoa yote sasa nchi nzima,kweli?
Subiri ukiwa mkubwa utajua.
 
Sijui kwa nini jf inakuwa sio sehemu tena ya kupata nondo za maana . Mtu kauliza kwa mtizamo wake na hisia zake kabisa lakini ukisoma majibu mengi ni utoto , ujuaji, masikhara mengi, kejeli ...🤬🤬
 
Back
Top Bottom